fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,850
- 2,979
[emoji16][emoji16] Sawa mkuu mzee wa "Nondo"Eeeeeh
Si mshukuru sipo huko mnapokazania nipo..
Kwa u celeb wangu wa kujulikana Cocochanel wa JF.. mngelia eeeeeh.. hadi kwingine ningewafata wanamchi mitamdaoni.. ujuzi ninao wa mengiiiiiiiiii..
Naandika kuburudika kivyangu humu mnanisingizia mie natumwa eeeeeh.. kumbe kuwa mdau mnakunikaaaaaa.. nondo zina wa [emoji382][emoji382][emoji382]
Ningekuwa nao yaani mngelia humu.. maana ningekuwa nawavuta na kuwapa nondo hadi muite pooo kama viongozi wenu waliobaki kupiga kelele za kufikiri awamu hii watapewa bahasha za khaki na ufyoto wao wakudanganya wananchi kwa asilimia kubwa..