Kulikoni Mpakwa mafuta Britanicca, umehamia CHADEMA

Kulikoni Mpakwa mafuta Britanicca, umehamia CHADEMA

Wanasiasa hawaaminiki wao hutetea tu masilahi yao ndo mana mara waunge mkono juhudi mara aponde baada ya kuguswa masilahi.
Daima mwanasiasa husema kile watu wanachotaka kusikia. Hata ikiwa ni mzazi wako usiamini kauli ya mwanasiasa. Lakini hili halipaswi kutazamwa kama kipimo cha uhalali ama uharamu wa kubadilisha mtazamo wa kisiasa, hasa ikichukuliwa kutoka upinzani kwenda CCM ni uzalendo lakini kinyume cha hapo ni uhaini.
 
Huyu akihamia CHADEMA ni pigo kwa CCM mtandaoni, maana michango yake asilimia 30 angalau inakijenga chama chake,
Pili ni watu ambao CCM inawategemea mtandaoni
GENTAMYCINE
Troll JF
Trump2
faiza foxy
britanicca

Kuna muda akili huwajia na kutoa michango ya maana wanajua sana kucheza na jukwaa, wanatumwa kuleta nyuzi za ni trick watu kupima upepo,

Ila kuna mazuzu YEHODAYA ISIS jingalao hawa wamachefua Pascal Ndege
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo kwenye mazuzu
 
Kila mtu yuko huru Kuwa mrengo wowote Ila kibongo aisee watu hawako free wengine nguvu ya masilahi inawatuma na sio dhamira kutoka moyoni
Daima mwanasiasa husema kile watu wanachotaka kusikia. Hata ikiwa ni mzazi wako usiamini kauli ya mwanasiasa. Lakini hili halipaswi kutazamwa kama kipimo cha uhalali ama uharamu wa kubadilisha mtazamo wa kisiasa, hasa ikichukuliwa kutoka upinzani kwenda CCM ni uzalendo lakini kinyume cha hapo ni uhaini.
 
Mi pia ntaanza kumfuatilia juu kwenye jukwaa la siasa naingiaga kwasababu ya Pascal Mayalla
Mi hufatilia sipendagi ku comment sana mana topic nyingine huwa ziko kishabiki. Napendaga topic zenye masilahi ya nchi. Humu siasani Kuna magwiji ka kina paschal mayalla, brittanica, barafu zitto junior, kina kiranga na wengineo wanajua mambo hayo. Tena Paschal mada zake huwa fikirishi sana
 
Warudisheni kwanza wale wote waliohamia CCM ndio muanze kuota hizo njozi.
Ni suala la muda,kama umetazama vyema bunge linaloendelea utabaini kitu. Bashe kasema,Serukamba kasema,Zungu kasema,Ndugai kasema.....Magu atabaki peke yake
 
Ni suala la muda,kama umetazama vyema bunge linaloendelea utabaini kitu. Bashe kasema,Serukamba kasema,Zungu kasema,Ndugai kasema.....Magu atabaki peke yake

Thubutu!!!!

Kitu ambacho wengi hatuelewi ni kwamba Tanzania ya leo hakuna anayeingia kwenye chama cha siasa kwa sababu ya ITIKADI kama zamani. WOTE ni njaaa na kujitafutia Riziki! Ndo maana mpaka gazeti la economist linajua bei ya mbunge wa upinzania kuhamia CCM kwamba ni million sitini za kitanzania!

Wachache akina Pascal Mayalla bado wako kwenye denial! Thinking we still have some sanity in our politics. But as a matter of fact, siku hizi Tanzania haina mwanasiasa anayejua anachosimamia! Kama wapo hawazidi 0.001%

Mwisho wa siku huwezi kutegemea la maana kwa mbunge kama huyu. Ingekuwa maamuzi yangu mimi ningefuta bunge. Ni mzigo na hasara kwa wananchi!
 
Back
Top Bottom