britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,165
- 47,858
Kina jingalao hata CCM hawaijui wanadandia tu,Mkuu mbona jingalao anakukana??
Kina jingalao hata CCM hawaijui wanadandia tu,Mkuu mbona jingalao anakukana??
Hao wote ni nzi wa chooni sema mwingine anatokea choo cha public wengine choo cha magereza n.kHuyu akihamia CHADEMA ni pigo kwa CCM mtandaoni, maana michango yake asilimia 30 angalau inakijenga chama chake,
Pili ni watu ambao CCM inawategemea mtandaoni
GENTAMYCINE
Troll JF
Trump2
faiza foxy
britanicca
Kuna muda akili huwajia na kutoa michango ya maana wanajua sana kucheza na jukwaa, wanatumwa kuleta nyuzi za ni trick watu kupima upepo,
Ila kuna mazuzu YEHODAYA ISIS jingalao hawa wamachefua Pascal Ndege
Wewe ni kuwadiMi Ni CCM damu damu
Wew hufuatilii bunge. Wabunge wengi ccm wanajua hali ni tete nchini.hata mawaziri wanalifahamu hilo.Unaota wewe......... Ndugai kasema nini?!
Mmeanza kumkana.Sikumbuki kama huyo alikuwa mmoja wa Timu Magufuli ...labda una uhaba wa kumbukumbu
Hongera kwa kuridhika na buku 7Hahahaha
Tuna kula kivulini, mwache MAMA TANZANIA atubariki kwa baraka zake zote walahi
Kwani hakuna kama MAMA TANZANIA walahi
CCM ya mafisadi ndio unayoijua !Kina jingalao hata CCM hawaijui wanadandia tu,
Mkuu Kila la heri lakin usishangae unabishana na bosi wako, wakati we ni msafisa ofisi ya tawi huko kwa MnyamaniCCM ya mafisadi ndio unayoijua !
Sijawahi kumuona kwenye harakati zetu.Mmeanza kumkana.
At least jingalao kidogoHuyu akihamia CHADEMA ni pigo kwa CCM mtandaoni, maana michango yake asilimia 30 angalau inakijenga chama chake,
Pili ni watu ambao CCM inawategemea mtandaoni
GENTAMYCINE
Troll JF
Trump2
faiza foxy
britanicca
Kuna muda akili huwajia na kutoa michango ya maana wanajua sana kucheza na jukwaa, wanatumwa kuleta nyuzi za ni trick watu kupima upepo,
Ila kuna mazuzu YEHODAYA ISIS jingalao hawa wamachefua Pascal Ndege
Ha ha ha...sina bosi feki !sina bosi feki by the way sina bosi ndani ya ccm!!Mkuu Kila la heri lakin usishangae unabishana na bosi wako, wakati we ni msafisa ofisi ya tawi huko kwa Mnyamani
Harakati siyo kutukana watu mkuu harakati siyo kukaa mnapiga soga kuiponda CHADEMA au CUF, harakati ni mfano wa bashiru alivyo, harakati kama Waitara alivyo, harakati kama Magufuli alivyo si kusifia sifia hata ambavyo si muhimu,Sijawahi kumuona kwenye harakati zetu.
Ni mnafiki mithili ya pasco
Acha kumdhalilisha mzeeNasikia siku hizi wamemsajili na Pascal Mayalla
Harakati ni kufanya CCM isimame milele...jingalao hatukani hata siku moja...jingalao anaongea kweli tupu.Jingalao hayupo Lumumba mkuu...yupo kila mahali!!Harakati siyo kutukana watu mkuu harakati siyo kukaa mnapiga soga kuiponda CHADEMA au CUF, harakati ni mfano wa bashiru alivyo, harakati kama Waitara alivyo, harakati kama Magufuli alivyo si kusifia sifia hata ambavyo si muhimu,
Hamjamuelewa Magufuli alivyosema yeye atawachagua wenye maoni kama Bashiru alafu ninyi wa hapo Lumumba mendelee kusugua benchi?
Kwa Taarifa yako uteuzi ujao mtatiro yupo,
Anapewa nafasi nyeti sana
Kumbe ni Jingalao kweliHarakati ni kufanya CCM isimame milele...jingalao hatukani hata siku moja...jingalao anaongea kweli tupu.Jingalao hayupo Lumumba mkuu...yupo kila mahali!!
Jingalao hasifii sifii hovyo...Mtambue Jingalao toka alivyoingia JF na uuelewe msimamo wake.Jingalao is more than CCM!!
Kujua Mtatiro au anyone else atachaguliwa kuwa kiongozi ndani ya Serikali au Chama haiwezi kukufanya kuwa mwanaccm bora.
Jingalao stick with his mission and purpose...
Jingalao is GOD granted creature ..for Tanzania welfare.
Na wengi wako hivo,wakiguswa tu wanaanza kuiponda serikali na ttz la bavicha huwa hawajiulizi imekuaje zaid ya kukimbilia kusema oooh kaanza kujitambua mara tunaimba wimbo mmoja.Wafuasi halisi wa vyama vya siasa ni wale vipato vyao havitegemei fadhira za mwanasiasa direct or indirect. Hapa kuna wafanyabiashara halali na wengine waliojiajiri au ajiliwa kihalali na kwa uwezo wao binafsi.Ukiona mtu ghafla kachange na anaattack upande aliokuwepo, fuatilia utaona jamaa maslai yale yameguswa.Ni balozi wa FAO akiwakilisha Tanzania,kapewa kitengo kacheza wakimbinya analia lia, sasa kawa demoted
Unajua dada tatizo la hii nchi kila mtu anaweka siasa over everything. Even mambo ya muhimu.Brittanica mbona mchango yake ni constructive sana kwa mstakabali wa nchi yetu. Tuacheni uchama kwenye mambo ya msingi kwa taifa letu.