Kulikoni mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga kuhamishwa mapema hivi?

Duh! Bongo hakuishi vituko kwa kweli! Hao waliofanya vetting kabla ya uteuzi hawakuliona hilo la kauli ya kibaguzi?

Kuna mambo yanafanyika nji hii ukimsimlia mtu wa nje anaweza kudhani ni stori au hadithi
 
Duh! Bongo hakuishi vituko kwa kweli! Hao waliofanya vetting kabla ya uteuzi hawakuliona hilo la kauli ya kibaguzi?

Hivi nchi hii kunafanyika vetting? Siku tukianza kuwafanyia vetting viongozi wetu ndio utakuwa mwanzo wa kuelekea kwenye maendeleo.
 
Kwani siku hizi vetting bado zinafanyika? sina hakika na hilo vinginevyo tusingekuwa na wateule pumba!
 
Nadhani ndiye yeye

kwa hapa ndo mh dk jk ananiacha hoi,amekaa takriban mwaka tka aanze awam ya pili,hv kama kwl kwa mda huo wote alishindwa kujua hyu aende wapi yule wapi??hv si watalipwa hela ya transfer??inauma sana tena sana,na mungu yupo anatuona wote ss wanyonge na mackin
 
Hivi nchi hii kunafanyika vetting? Siku tukianza kuwafanyia vetting viongozi wetu ndio utakuwa mwanzo wa kuelekea kwenye maendeleo.

Utaratibu unaelekeza Vetting ifanyike, tatizo ni kutimiza matakwa ya MTEUZI! Tukiacha kuteuana kwa misingi ya ujomba, udini, uhawara na u-school/college mate mambo yanaweza kubadilika!
 
Kwani siku hizi vetting bado zinafanyika? sina hakika na hilo vinginevyo tusingekuwa na wateule pumba!

Itabidi tuwe makini katika utoaji mapendekezo kwenye uandishi wa Katiba Mpya, tunaweza kuweka misingi mizuri ya uteuzi na uendeshaji nchi na kuondoa huu upuuzi unaotukera sasa.
 
kwa hapa ndo mh dk jk ananiacha hoi,amekaa takriban mwaka tka aanze awam ya pili,hv kama kwl kwa mda huo wote alishindwa kujua hyu aende wapi yule wapi??hv si watalipwa hela ya transfer??inauma sana tena sana,na mungu yupo anatuona wote ss wanyonge na mackin

Mkuu tukio kama hili si mara ya kwanza kutokea kikwete anapofanya teuzi za hawa makada wenzake.

Tunakumbuka aliwahi kumteua Anatoly choya kuwa mkuu wa wilaya ya kishapu wakati anakabiliwa na kesi mahakamani kwa kosa la kutoa rushwa katika uchaguzi.

Siku ya mapokezi na kujitambulisha kwa viongozi na wananchi wa kishapu, watu wakashangaa anaibuka mtu mwingine kabisa-Ahmed lutavi badala ya choya.

Kwa hali kama hii sina shaka kwamba wateule wa kikwete hawafanyiwi vetting.
 
Utaratibu unaelekeza Vetting ifanyike, tatizo ni kutimiza matakwa ya MTEUZI! Tukiacha kuteuana kwa misingi ya ujomba, udini, uhawara na u-school/college mate mambo yanaweza kubadilika!

Yap, nakubaliana nawewe, vetting inaweza kufanyika lakini mwenye mamlaka ya kuteua akapuuza ushauri aliopewa ili kuwabeba makada na wengine wenye uhusiano naye.

Mfano mzuri kwamba kikwete hashauriki ni matukio ya kuanguka wakati akihutubia mwanza na dsm. Aliwahi kukiri kwamba alipuuza ushauri wa madaktari wake kumtaka apumzike. Sasa kama anaweza kupuuzia ushauri unaohusu afya yake mwenyewe, sasa haya mengine si ndio hali itakuwa mbaya sana?
 
Wakuu, habari zimeenea huko shinyanga kuwa mkuu wa mkoa mteule wa mkoa wa Shy bw. L. Mwananzila amehamishwa leo kwenda mkoa wa Lindi na mkuu mpya wa mkoa ameripoti leo mchana. Habari za kuamika kutoka kwa mtu aliyepo Shinyanga katika viwanja vya Shycom ambako maadhimisho ya miaka 50 yanafanyika kimkoa amesema ameona makundi ya watu wakiwa wanajadili juu ya uhamisho huo wa ghafla.

Wengi wakihusisha uhamisho huo na kauli yake aliyoitoa akiwa bungeni ya kuwatimua wasukuma kutoka jimboni mwake huko Rukwa.

Nawasilisha

Mkuu si tetesi bali ni kweli. Ludovick Mwananzila ameisharipoti Lindi na Ally Nassoro naye tayari ameisharipoti Shy town!!
 
Kumbukeni hawa watu hawana system nzuri ya kutunza kumbukumbu,yawezekana walishasahau kama alishawahi kutoa kauli ya kibaguzi,huenda kuna mtu au yeye mwenyew kawaambia vibaraka wake kwamba alishachafua hali ya hewa siku za nyuma,wacha wazunguke tu
 
Yap, nakubaliana nawewe, vetting inaweza kufanyika lakini mwenye mamlaka ya kuteua akapuuza ushauri aliopewa ili kuwabeba makada na wengine wenye uhusiano naye.

Mfano mzuri kwamba kikwete hashauriki ni matukio ya kuanguka wakati akihutubia mwanza na dsm. Aliwahi kukiri kwamba alipuuza ushauri wa madaktari wake kumtaka apumzike. Sasa kama anaweza kupuuzia ushauri unaohusu afya yake mwenyewe, sasa haya mengine si ndio hali itakuwa mbaya sana?

Ni balaa Mkuu!
 
Mkuu tukio kama hili si mara ya kwanza kutokea kikwete anapofanya teuzi za hawa makada wenzake.

Tunakumbuka aliwahi kumteua Anatoly choya kuwa mkuu wa wilaya ya kishapu wakati anakabiliwa na kesi mahakamani kwa kosa la kutoa rushwa katika uchaguzi.

Siku ya mapokezi na kujitambulisha kwa viongozi na wananchi wa kishapu, watu wakashangaa anaibuka mtu mwingine kabisa-Ahmed lutavi badala ya choya.

Kwa hali kama hii sina shaka kwamba wateule wa kikwete hawafanyiwi vetting.

Napata picha hapa kwamba Mkulu mwenyewe hapendi mambo ya Vetting!

Unakumbuka kwamba wakati wa safari yake ya Magogoni mwaka 2005 jamaa walimuwasha kwamba hatoshi kuwa Mpangaji wetu?
 
h
Maswali marahisi ndo huwa wanakosa wanafunzi wengi. Hebu sahihisha uone watahiniwa walivyofanya!

Kuna watu wanadhani google ndio kila kitu!! Pamoja na kuambiwa kuwa watu wamebadilishana vituo hawataki hadi labda kesho waone kwenye magazeti!! Ambalo sijui ni kama wataapishwa upya!!
 
Back
Top Bottom