Kulikoni mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga kuhamishwa mapema hivi?

Haya ni yale yale ya Mkurugenzi wa wilaya na Ngorongoro kuitwa ili akabidhiwe gari la wagonjwa la Longido. Ikulu imejaa watu wanaofikiri kama wauza vitumbua wa Kinondoni Mosco
 
Nchi yetu ina vituko sana, angekuwa mcheza mpira tungesema amepata majeraha kwenye mazoezi!
 
Nadhani kuna mambo mengine siyo googable! Labda na hili lilikuwa mojawapo.

Hakika mkuu Najua aliteuliwa Mwananzila ila Mwananzila si mkuu tena wa mkoa wa Shinyanga. Nilikuwa na maana ya kuileta hii habari kinyumenyume ili tuijadili baada ya kujiuliza kwa makini. Sikutegemea mtu ategemee mtu kama mimi nisiwe najua uteuzi uliofanyika na ulivyofanyika. Sikutegemea mtu aniambie nika google as if I am a layman and not a gteat thinker. Hapa dhima yangu ilikuwa kutaka kujua kama wanaJF wenzangu wanajua kuwa kumetokea kubadilishana vituo kwa wakuu hao wa mikoa.
 
Hivi zimepita siku ngapi vile toka uteuzi mpya?Walah Ukikamilika mwezi atakuwa amemaliza pesa zote hazina kwa kuwalipa posho za uhamisho.Nadhani hata huyu wa Pwani hajafiti pale,anatakiwa aende Tanga ili akamshughulikie Kitandule aliyembwaga kura za maoni.Vilvile Da Bat antakiwa apewe R-Chuga ili akapambane na Kamanda mapema ili 2015 awe fresh,kwa sasa wamemweka bechi ili wasistukiwe,Great thinkers mnadhani Mulonga wa kupewa Rchuga yule kweli si wanazuga tu,ili kure-tain nafasi ya Da Bati.Poe Baba Riz na Washauri wako waliokutosa kiaina!!
 
Tokea mwanzo hadi mwisho nacheka tu jamani ama kweli JF ina mambo .Naendelea kusoma wananchi .
 
Wakuu,

Kuna jamaa yangu mmoja anaishi Mjini Shinyanga amenipa taarifa muda si mrefu kuwa yule Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga aliyeteuliwa hivi karibuni Mhe. Mwananzila amehamishwa na kupelekwa mkoa wa Lindi.

Nasikia wanabadilishana na mkuu mpya wa Mkoa wa Lindi.

Mabadaliko haya yanatokea hata mwezi haujaisha tangu hawa jamaa wafike kwenye ofisi zao mpya.

Kulikoniiiii!!!!?????
 
This tips off how rudderless JK government is. The man seems to have been crapulous or under the weather when he announced the appointments! Needless to say, previous experience has proved that life can be possible even in the absence of Regional Commissioners.
 
Mwita25 I am speechless! I real don't believe if this particular response comes from you.
 
kwahiyo wewe ukisikia tetesi tu unakurupuka? leta mada zenye ushahidi na vyanzo. Je akija mwingine hapa akatuambia rafiki yake kamwambia hili na lile tuamini? acha hizo wewee
 
This tips off how rudderless JK government is. The man seems to have been crapulous or under the weather when he announced the appointments! Needless to say, previous experience has proved that life can be possible even in the absence of Regional Commissioners.

this clealy shows that Mwita is now well undergo Pure-Maturity!
We somehow sense the difference!
 
Wakuu,

Kuna jamaa yangu mmoja anaishi Mjini Shinyanga amenipa taarifa muda si mrefu kuwa yule Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga aliyeteuliwa hivi karibuni Mhe. Mwananzila amehamishwa na kupelekwa mkoa wa Lindi.

Nasikia wanabadilishana na mkuu mpya wa Mkoa wa Lindi.

Mabadaliko haya yanatokea hata mwezi haujaisha tangu hawa jamaa wafike kwenye ofisi zao mpya.

Kulikoniiiii!!!!?????

Kama madai haya ni ya kweli basi haya maamuzi ni sehemu matumizi mabaya ya fedha za Umma, maana kulingana na Standing Order za serikali, Mwananzila anatakiwa alipwe Substance allowance ya siku 7 na Moving allowance kutoka Kigoma au Tabora kama sikosei hadi Shinyanga alafu hajakaa hata mwezi mmoja serikali itabidi imlipe tena Moving allowance kutoka Shinyanga hadi Lindi ambapo ni zaidi ya Kilometa 1200.

The same Moving allowance itatakiwa pia ilipwe kwa mwenzake anayebadilishana nae kituo cha kazi.
 
Inasemekana yule aliyepelekwa Lindi ndiye alikuwa hatakiwi kule. Baada ya kuripoti tu, watu wakamuona hawafai. Ndio sababu ya kupelekwa Shinyanga na Mwananzila kupelekwa Lindi. Naye akikataliwa sijui atampeleka nani?
 
This tips off how rudderless JK government is. The man seems to have been crapulous or under the weather when he announced the appointments! Needless to say, previous experience has proved that life can be possible even in the absence of Regional Commissioners.
This' not YOU!
 
Haya ni yale yale ya Mkurugenzi wa wilaya na Ngorongoro kuitwa ili akabidhiwe gari la wagonjwa la Longido. Ikulu imejaa watu wanaofikiri kama wauza vitumbua wa Kinondoni Mosco

Hapo kwenye RED, hao wauza vitumbua wana kasoro gani? huku unakoenda ni kudhalilishana!
 
Madaraka yatatumaliza. Kama hafai shinyanga atafaa Lindi au ni kuwadharau watu wa LIndi
 
Back
Top Bottom