azikala ngulukizi
Senior Member
- Mar 23, 2016
- 190
- 124
Habari wanajamvi katika utafuti wangu nimegundua wanawake ndio chanzo cha sisi wanaume kukosa nguvu, ujue maumbile ya mwanamke yana thamani kubwa sana na yanaheshima yake ndio mana yanatakiwa yawe yamefichwa kila wakati labda kipindi yupo na mumewe.
Chukulia zamani au watu wa vijijini habari ya kupungukiwa nguvu za kiume ni aghalabu sana kumkuta kijana analalamika hana nguvu za kiume au wazee wa vijijini unakuta mzee wa makamo anaoa msichana mdogo na anamkidhia haja zake kabisa bila taabu sasa huku mjini balaa siku hizi mapaja hayatafutwi, kiono hakitafutwi, matiti hatutafuti kila kitu live.
Sasa kwa sisi wanaume kuzoea hivi viungo kuviona mara kwa mara tumevizoea hivyo kukosa msisimko kabisa ww tembelea mitaa ya kariakoo, posta maeneo ya beach sehemu nyingi za starehe imekua tabu jaman wanaume wachawi wetu ni hawa dada zetu vaeni nguo za kujistir haya mambo mara mume wangu haniridhishi yatapungua sanaa kama sio kuisha.
Angalia wenzetu ulaya mwanaume mpaka ale vidonge ndio anasimamisha kwa sababu viungo nyeti vishakua kama nywele vidole nk ambavyo havisisimui kabisa ndio maana unakuta balaa kama haya mwisho namalizia chakula ni sehemu ndogo sana ila tatizo kubwa sana ni suala la mavazi, jamani na mwisho tusipende kuangalia mikanda ya x na yenyewe inachangia sana kumaliza nguvu za kiume