Kulikoni kimya cha Kinana?

Kulikoni kimya cha Kinana?

nahisi wao emu sasa wameamua kuumbuana.
sio rahisi kuvuja siri ya watu wawili au kikundi cha watu mpaka watofautiane itikadi
 
Kikwete alishtuka baada ya kuona ameharibu vya kutosha akaamua kurudisha mpira kwa waliokuwa wanajifanya waelewa zaidi, sasa mambo yamewazidia; wazee choka mbaya, vijana kubwabwaja hovyo.
 
Baada ya kuchaguliwa na kuanza kazi kwa mbwebwe, Katibu mkuu wa CCM Abrurahaman Kinana, ametoweka ghafla katika majukwaa hasa baada ya kukumbwa na Zomeazomea pamoja kuandamwa na shutuma za mauaji ya Tembo na Faru.

Leo katika mizunguko yangu mjini, nilimuona mheshimiwa akiingia hoteli moja ya kifahari jijini akiwa na hali ya kuonyesha either kuwa mgonjwa au kuwa na mawazo mazito.

Ila pia kumekuwepo uvumi wa chini kwa chini unaomnukuu kiongozi huyo akimlalamikia Nape na Mwigulu kujinyakulia madaraka yote ndani ya Chama, ambayo matokeo yake inaonyesha kuzidi kukibomoa CCM...... Jamani kulikoni na Mzee Kinana? Ni mgonjwa, au tatizo ni nini?

Kwani migogoro ndani ya CDM imeisha si kila kukicha mnafukuzana?hayo ndio mambo ya kinana ni kimyakimya tu.Mshamzoea mzee wa uchumba sugu kelele kibao huyu sio wa kiiivyo!
 
714789379_orig.jpg
lazima wajichekeshe hata kama havichekeshi
 
tembo wameisha ,vifaru wameisha mzee hajui afanye biashara gani,labda aanze na kusafirisha chatu

Moja ya gari zake imepinduka na Wananchi wamekamata meno ya tembo aliyokuwa ameyabeba.

Huyu Msomali kwa biashara ya meno ya tembo!
 
Kwani migogoro ndani ya CDM imeisha si kila kukicha mnafukuzana?hayo ndio mambo ya kinana ni kimyakimya tu.Mshamzoea mzee wa uchumba sugu kelele kibao huyu sio wa kiiivyo!

Kushadadia ccm ni lazima uwe na akili ya maiti.
 
Baada ya kuchaguliwa na kuanza kazi kwa mbwebwe, Katibu mkuu wa CCM Abrurahaman Kinana, ametoweka ghafla katika majukwaa hasa baada ya kukumbwa na Zomeazomea pamoja kuandamwa na shutuma za mauaji ya Tembo na Faru.

Leo katika mizunguko yangu mjini, nilimuona mheshimiwa akiingia hoteli moja ya kifahari jijini akiwa na hali ya kuonyesha either kuwa mgonjwa au kuwa na mawazo mazito.

Ila pia kumekuwepo uvumi wa chini kwa chini unaomnukuu kiongozi huyo akimlalamikia Nape na Mwigulu kujinyakulia madaraka yote ndani ya Chama, ambayo matokeo yake inaonyesha kuzidi kukibomoa CCM...... Jamani kulikoni na Mzee Kinana? Ni mgonjwa, au tatizo ni nini?
Dentist yuko busy mbugani akiwashughulikia tembo
 
Jangili kinana kapotelea Serengeti huko anawashughulia Tembo wasiwasi wangu ni hapo atakapoanza biashara ya kuuza sokwe lazima kwenye vikao vya NEC pachimbike atakavyo muwinda...............(ban)
 
Baada ya kuchaguliwa na kuanza kazi kwa mbwebwe, Katibu mkuu wa CCM Abrurahaman Kinana, ametoweka ghafla katika majukwaa hasa baada ya kukumbwa na Zomeazomea pamoja kuandamwa na shutuma za mauaji ya Tembo na Faru.

Leo katika mizunguko yangu mjini, nilimuona mheshimiwa akiingia hoteli moja ya kifahari jijini akiwa na hali ya kuonyesha either kuwa mgonjwa au kuwa na mawazo mazito.

Ila pia kumekuwepo uvumi wa chini kwa chini unaomnukuu kiongozi huyo akimlalamikia Nape na Mwigulu kujinyakulia madaraka yote ndani ya Chama, ambayo matokeo yake inaonyesha kuzidi kukibomoa CCM...... Jamani kulikoni na Mzee Kinana? Ni mgonjwa, au tatizo ni nini?

Anasubiri ile ishu ya mapembe ya ndevu tusahau kwanza kama kawaida yetu watanzania halafu ndiyo atakuja na porojo
 
Baada ya kuchaguliwa na kuanza kazi kwa mbwebwe, Katibu mkuu wa CCM Abrurahaman Kinana, ametoweka ghafla katika majukwaa hasa baada ya kukumbwa na Zomeazomea pamoja kuandamwa na shutuma za mauaji ya Tembo na Faru.

Leo katika mizunguko yangu mjini, nilimuona mheshimiwa akiingia hoteli moja ya kifahari jijini akiwa na hali ya kuonyesha either kuwa mgonjwa au kuwa na mawazo mazito.

Ila pia kumekuwepo uvumi wa chini kwa chini unaomnukuu kiongozi huyo akimlalamikia Nape na Mwigulu kujinyakulia madaraka yote ndani ya Chama, ambayo matokeo yake inaonyesha kuzidi kukibomoa CCM...... Jamani kulikoni na Mzee Kinana? Ni mgonjwa, au tatizo ni nini?

Nyeti za ndani ni kuwa Kinana hakutaka tena siasa kwani zingemuharibia biashara zake za magumashi...Kama ...pembe za ndovu,human traffic,kusafisha pesa za wale jamaa wa baharini etc....lazima awe na mawazo...
Pia karibu mizigo yake minne imekamatwa...wa hong kong ,Singapore ,...Mombasa Mara mbili ....karibu "hasara" ya dola milioni 30......lazima awe mnyonge...
 
Kwani migogoro ndani ya CDM imeisha si kila kukicha mnafukuzana?hayo ndio mambo ya kinana ni kimyakimya tu.Mshamzoea mzee wa uchumba sugu kelele kibao huyu sio wa kiiivyo!

kwa hiyo zile ziara za kuongozana na mawaziri mikoani alikurupuka au zomeazomea ya temboooooooooo wetuuuuuuuuu ilimfanya pumbu zirudi ndani
 
Bado yule babu (Mangula) aliyekimbia kulima, atachoka soon, alianza kwa mbwembwe huyo. Pia alisema ndani ya miezi sita (kama sikosei) waliopata ushindi kwa njia ya rushwa wataondolewa. Hivi sasa haongelei kabisa suala hiyo!
 
katika makosa CCM wanayojutia ni kumpa wadhifa mkubwa ndani ya chama chao huyu jangili wa meno ya Tembo anayeua na kusafirisha mwenyewe kutumia meli zake za kifahari
baada ya kugundua Chadema inajua kila kitu na kuna watu ndani ya Chadema ambao amewahi kucheza nao madili kibao ameamua kujiweka pembeni kuepuka kutupiwa lawama ya kuzikwa rasmi CCM
amesononesha ofisi ya Mwenyekiti wake ambaye inakuwa vigumu kumvua ukatibu mkuu kwani itaonyesha jinsi huyo Mwenyekiti alivyo dhaifu
kitendo cha kumpa madaraka huyu mtu mwenye asili ya Somalia ni pigo kubwa kwa wana CCM wachache wazalendo
kazi inaendelea na hakuna hata habari moja itaachwa kuletwa hapa jf mpaka kieleweke
 
Habari za Ujangili wake zimeshafika kwenye Senate ya USA now is PERSONAL NONE GRATA IN THE USA AND EU!

Hilo linamkosesha usingizi.
 
kuna thread imeanzishwa kule eti nape sio mtoto wa brig.moses nnauye na ushahidi upo

Kaka ushahidi mwingine ni lile tangazo la TBC1 Kumbukumbu ya hayati Breg.Moses Nnauye, jina la Nape halipo kati ya watoto wote.wajukuu n.k
 
Katibu mkuu chama Tawwla JANGILI? Huyu kule kwetu ni mishale tu ya macho. Jamani tembo wetu watalii hawaji tena. wale vijana waliosemea Tuor Guide pale Mwika wanalilia ada zao maana ajira hakuna. Jangili kamaliza Tembo wote na kupakia kwenye meli zake. Swali la kujiuliza hapa ina maana kweli hajui meli zake zinaondoka bandarini kwenda hiko Hong Kong hajui zimebeba nn. HUO NI USANII. HUYU NI JANGILI NAMBA ONE TANZANIA.
 
Katibu mkuu chama Tawala JANGILI? Huyu kule kwetu ni mishale tu ya macho. Jamani tembo wetu watalii hawaji tena. wale vijana waliosemea Tuor Guide pale Mwika wanalilia ada zao maana ajira hakuna. Jangili kamaliza Tembo wote na kupakia kwenye meli zake. Swali la kujiuliza hapa ina maana kweli hajui meli zake zinaondoka bandarini kwenda hiko Hong Kong hajui zimebeba nn. HUO NI USANII. HUYU NI JANGILI NAMBA ONE TANZANIA.
 
Pressure inapanda pressure inashuka, bado 2015, wataanguka anguka hawa.
 
wimbi la M4C hilo,limemzidi kasi,ukweli wanaufahamu ila hawawezi kukiri hadharani

Back
Top Bottom