Kulikoni kimya cha Kinana?

Kulikoni kimya cha Kinana?

huyu jangili alidhani watanzania wa leo ni wale wa enzi ya kidumu chama cha majangili ahahaaaaa.....
watu wameamka bwana wanajua haki zao,wanajua uongo ni upi na ukweli ni upi.
kamaliza tembo na faru wote sasa anataka kurudia dili lake la kudanganya watu ili apate kuficha madhambi yake.inajulikana wazi kua wewe kama unataka kufanikiwa katika biashara haramu kua mwanasisiemu kwenye ngazi yoyote hata kama ni mjumbe wa nyumba kumi ..bangi utauza,unga utauza,piwa,ujangili,na madhambi yote yale.
jangili tu huyo wala asiwaumize kichwa sana
dawa yake ni peopleeeeee... jangili mkubwa.

Mkuu umesema yote. Ukiwa CCM chochote unafanya na hakuna wa kukugusa na hiyo ndio imeifikisha nchi hapa tulipo. Hii inanikumbusha jirani yangu mama mmoja mganga njaa eti ni mjumbe wa CCM lakini pale kwake yeye na watoto wake ni wauza unga na bangi. Cha ajabu hiyo bangi wanavuta tu hadharani. Nilitoa taarifa polisi, wala hawakuja kuwakamata!!!

Tiba
 
Seems ule ugonjwa wa watu wazima "STRESS" unamsumbua...chezeya MAGAMBA weye.......

Atakuwa na major depressive illness currently hypomanic without psychotic symptoms akitoka huko ni full depression
 
Secretari ya kamati kuu ya CCM haitafanya kazi ipasavyo mpaka Nape na Mwingulu watoke,CCM inakufa kabla ya 2015 kutokana na hawa jamaa wawili,waropokaji na propaganda za maji taka mpaka wananchi wameona wazee wenye busara CCM kama wehu

Walifurahia sana hiyo secretarieti mpya ndugu yangu Ousofia, hebu ona:
714789379_orig.jpg
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuchaguliwa na kuanza kazi kwa mbwebwe, Katibu mkuu wa CCM Abrurahaman Kinana, ametoweka ghafla katika majukwaa hasa baada ya kukumbwa na Zomeazomea pamoja kuandamwa na shutuma za mauaji ya Tembo na Faru.

Leo katika mizunguko yangu mjini, nilimuona mheshimiwa akiingia hoteli moja ya kifahari jijini akiwa na hali ya kuonyesha either kuwa mgonjwa au kuwa na mawazo mazito.

Ila pia kumekuwepo uvumi wa chini kwa chini unaomnukuu kiongozi huyo akimlalamikia Nape na Mwigulu kujinyakulia madaraka yote ndani ya Chama, ambayo matokeo yake inaonyesha kuzidi kukibomoa CCM...... Jamani kulikoni na Mzee Kinana? Ni mgonjwa, au tatizo ni nini?

we hujui? Kinana ana elephantiasis symptoms. Yani sauti za tembo zinamzonga kila aendapo
 
Baada ya kuchaguliwa na kuanza kazi kwa mbwebwe, Katibu mkuu wa CCM Abrurahaman Kinana, ametoweka ghafla katika majukwaa hasa baada ya kukumbwa na Zomeazomea pamoja kuandamwa na shutuma za mauaji ya Tembo na Faru.

Leo katika mizunguko yangu mjini, nilimuona mheshimiwa akiingia hoteli moja ya kifahari jijini akiwa na hali ya kuonyesha either kuwa mgonjwa au kuwa na mawazo mazito.

Ila pia kumekuwepo uvumi wa chini kwa chini unaomnukuu kiongozi huyo akimlalamikia Nape na Mwigulu kujinyakulia madaraka yote ndani ya Chama, ambayo matokeo yake inaonyesha kuzidi kukibomoa CCM...... Jamani kulikoni na Mzee Kinana? Ni mgonjwa, au tatizo ni nini?
[h=1]State links Somali gangs to increased wildlife poaching[/h]http://www.nation.co.ke/News/State-links-Somali-gangs-to--increased-wildlife-poaching/-/1056/1669982/-/yoq99hz/-/index.html
 
Wakenya wameandamana leo jijini Nairobi kutaka jumuiya ya kimataifa kuwadhibiti majangili wote hasa eneo la Serengeti ambako ni ngome ya Kinana!
 
Back
Top Bottom