Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Sasa hivi Chadema wana mafaili stoo nzima ya data...wataanza kuyatoa Moja Moja katikati ya mwaka....
Habari ya kinana ni kwisha ,huyu kazi ya kuiba kura za urais kwa kishindo 80 % ndio anajuwa ...hii ya Kumpa chama ....wameharibu...kabisa.....2010 alisafirisha mizigo mkubwa sana wa meno...kwa kisingizio cha kampeni cam
Huyo ndie alieaibisha Taifa kwenye jumuia ya kimataifa...kwa Kikwete kutuma mawaziri kuutetea serikali iuze shehena yake ya tani 100 za meno ya tembo yaliyokamatwa na rangers nyakati tofauti ikiwemo kwenye operesheni maalum ya Maj General loisulie ya miaka ya mwisho ya 90 na kati ya 2000 ya kuwaangamiza majangili wa kisomali kwenye mbuga zetu waliokuwa wakiuwa tembo....operesheni iliyofanikiwa sana...
Kama serikali ingekubaliwa kuuza shehena yake...dalali angekuwa yeye...Tumeaibika sana Huko nje kwa Kuomba kuuza meno ya Tembo wakati majirani Kenya wao walichoma moto shehena Yao Kama gesture ya kupinga ujangili.............ikiwemo ya meno ya tembo wanaokufa kihalali kwa uzee..