Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Habari zilizojiri hivi punde ni kwamba Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) Bw. Robert Manumba amewasili wilayani Maswa. Habari zaidi zinadai kuwa Manumba yumo wilayani Maswa kwa ajili ya kusaidia upelelezi wa kifo cha aliyekuwa dereva wa mgombea ubunge jimboni humo kupitia CCM.
Hakuna kitu chochote duniani ambacho kinaweza kulinganishwa na uhai wa mtu. Lakini cha kushangaza iweje Manumba aende yeye mwenyewe huko Maswa wakati wapo wasaidizi wake katika mikoa na wilaya? Wakati wale watoto wanateketea kule Tabora au Temeke mbona hakwenda?? Wale wananchi waliouawa kule Ukerewe mbona hakwenda. Wale wananchi waliouawa Bweri, Musoma mbona hakwenda lakini Maswa ndo ameona kuna umuhimu wa yeye kama Mkurugenzi kwenda!!
Maswa kuna nini? Manumba hasitumie wakati huu kuwaadaha wananchi kuwa ni muwajibikaji sana. Kesi za fisadiz bado anazikalia....hana lolote zaidi ya kutaka ku-generate spin.
Zimebaki siku chache kubariki mabadiliko......HUSIDANGANYIKE.
Natoa pole kwa wafiwa.
usikute na mkulu au makamba au kinana au hata RIZ1 wapo kule kuwin vote za wanaccm wenzao. maana nazo hizo watazikosanaskia kuna delegate kubwa sana ya CCM inataka kutumia msiba huo kushinda uchaguzi... at any cost
naskia kuna delegate kubwa sana ya CCM inataka kutumia msiba huo kushinda uchaguzi... at any cost
Habari zilizojiri hivi punde ni kwamba Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) Bw. Robert Manumba amewasili wilayani Maswa. Habari zaidi zinadai kuwa Manumba yumo wilayani Maswa kwa ajili ya kusaidia upelelezi wa kifo cha aliyekuwa dereva wa mgombea ubunge jimboni humo kupitia CCM.
Hakuna kitu chochote duniani ambacho kinaweza kulinganishwa na uhai wa mtu. Lakini cha kushangaza iweje Manumba aende yeye mwenyewe huko Maswa wakati wapo wasaidizi wake katika mikoa na wilaya? Wakati wale watoto wanateketea kule Tabora au Temeke mbona hakwenda?? Wale wananchi waliouawa kule Ukerewe mbona hakwenda. Wale wananchi waliouawa Bweri, Musoma mbona hakwenda lakini Maswa ndo ameona kuna umuhimu wa yeye kama Mkurugenzi kwenda!!
Kwa wale wananchi waliouawa na majambazi Ukerewe DCI alikwenda naomba kuiweka sawa hii
Lakini kilichompeleka huku ni kuona namna gani watamuunganisha Shibuda kwenye mashitaka ya Uongo, lengo likiwa ni kumsaidia Robert Simon Kisena ambaye rafiki mkubwa wa Ridhiwani wakidhani kufanya hivyo kutamsaidia ashinde. Maswa watamchagua Shibuda ahata akiwa Gerezani.
This country bwana, inatia kichefu chefu sasa. Anyway ngoja tuone kama haki itatendeka na safari hii wasukuma wamechoka kugeuzwa mtaji kwa ccm.
usikute na mkulu au makamba au kinana au hata RIZ1 wapo kule kuwin vote za wanaccm wenzao. maana nazo hizo watazikosa
usikute na mkulu au makamba au kinana au hata RIZ1 wapo kule kuwin vote za wanaccm wenzao. maana nazo hizo watazikosa