Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

61664669_816951398678135_4510852517168414720_n.jpg
 
Startimes Kupitia Kisimbusi Cha Antenna Nazo Hazionyeshi:-
EATV, ITV,Channel 10,Star Television
Hata Tulio Dar es salaam
 
Walishatoa. Pia walikuwa wakitoa matangazo ya mabadiliko hayo ya frequence mara kwa mara kwa ambao hawajapata au hawakufuatilia kwa makini.
Kwa kifupi walichobadilisha ni SYMBOL RATE:
Ya zamani ni 13330 na mpya ni 8545.
FEC ni 2/3
Frequence ni 3643
Satellite ni ile ile ya nyuzi 64, Intel 906
Ko kuwapata mpaka tuwaite mafundi wa Madishi?
 
Kuna tatizo la kiufundi linatungalimu wengi, kuhusu kukatwa kwa channel ITV, EATV, CAPITAL, RADIO ONE pamoja na EATV RADIO havikamati kabisa kwenye TV pamoja na redio.
Kuna yeyote mwenye uelewa juu ya tatizo lake, pamoja na kwamba walitoa matangazo Mara kadhaa kabla ya kutokea kwa tatizo hili?
 
Back
Top Bottom