Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

Wamebadilisha frequency zao hamjasikia matangazo yao?
 
Wadau wa JF nimekuwa nikiitafuta Radio one sterio lakini siipati nisikilize kipindi cha lugha sanifu ya kiswahili kinachorushwa jumamosi asubuhi hadi saa tatu.

Nipo kanda ya kati na sijui tatizo nini.

Vipi huko mlipo mnaipata?
 
Walishatoa. Pia walikuwa wakitoa matangazo ya mabadiliko hayo ya frequence mara kwa mara kwa ambao hawajapata au hawakufuatilia kwa makini.
Kwa kifupi walichobadilisha ni SYMBOL RATE:
Ya zamani ni 13330 na mpya ni 8545.
FEC ni 2/3
Frequence ni 3643
Satellite ni ile ile ya nyuzi 64, Intel 906
 
Wamebadilisha masafa kuanzia Leo Juni 1, mbona wametangaza sana
 
Habari wana sayansi,

Tangia jana sipati EATV na ITV,nilisikia wamebadili satelite,nimejaribu kufanya Auto search Startimes sijapata kitu,kwa anayefahamu jinsi ya kuset aelekeze hapa jukwaani.
 
Habari wana sayansi,

Tangia jana sipati EATV na ITV,nilisikia wamebadili satelite,nimejaribu kufanya Auto search Startimes sijapata kitu,kwa anayefahamu jinsi ya kuset aelekeze hapa jukwaani.
tafuta fundi, hiyo si simu ya tecno usachi tu na kupata network hapo hapo
 
Back
Top Bottom