Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

Siku nzima ya leo naona channel hizi zimepotea na hakuna notification yoyote inaonekana.

Wenye taarifa watusaidie, au kuna settings zinahitajika kufanyika?

Kingamuzi changu ni STAR TIMES
Msijali, kampeni zinakaribia. Chaneli zote zitarudi kwenye ving'amuzi vyote.

Kama kawaida, unatengeneza tatizo alafu unalitatua mwenyewe.
 
Azam Dish:---Radio za IPP Zimepotea tena Zote......Wengine tulipo huku maporini tunatumia dish kupata Radio na TV za Solar.
 
EATV na ITV zimetoweka tena tangia Mchana,IPP tangu Mengi aondoke hawapo seriuos,ndio tatizo la kuwapa makanjanja wawe wakurugenzi,Kila siku EATV/ITV/EAFM/Radio1 matangazo yanakatika na hakuna anayejali.
 
Siku nzima ya leo naona channel hizi zimepotea na hakuna notification yoyote inaonekana.

Wenye taarifa watusaidie, au kuna settings zinahitajika kufanyika?

Kingamuzi changu ni STAR TIMES
Radio One, East Africa na Capital Radio Nazo hazishiki..
Sijui zimehamishiwa Masafa gani.
 
Tuvute subira wametoa taarifa kuna matengebezo ya satellite
Mbona wakati Mengi yupo hai kulikuwa hakuna kukatika kwa matangazo? Yaani ndani ya Mwezi matengenezo mara 3? Kama ni Routine Maintanance kwanini wasiwe wanafanya usiku kuanzia saa 7 mpaka saa 10?
 
Satellite mpya nadhani haiko vzr,shida ya kutumia miundo mbinu ya watu nasi tununue satellite yetu kama rwanda
Mbona wakati Mengi yupo hai kulikuwa hakuna kukatika kwa matangazo? Yaani ndani ya Mwezi matengenezo mara 3? Kama ni Routine Maintanance kwanini wasiwe wanafanya usiku kuanzia saa 7 mpaka saa 10?
 
Back
Top Bottom