Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

Wamebadilisha frequency zao hamjasikia matangazo yao?
Kwa hiyo na sisi tubadlishe? au wenye vingamuzi ndo wanatakiwa kubadilisha?
Very poor customer care kwa hawa jamaa wa Startimes!
 
Baada ya kifo cha mmiliki wa wa IPP mzee Mengi leo vituo vya ITV na EATV havipo hewani, kulikoni?
Hata kama tranmitter zimefeli ni kwa sababu ya kifo cha Mengi?
Imetokea mara nyingi sana hali hiyo hata wakati wa uhai wake,kunatokea matatizo kisarawe au salasala kwenye mitambo yao
Waacheni wafiwa wapumue
 
Hata mimi channels za ITV, EATV zimepotea. Ni vyema tukaelezwa jinsi za kuzirekebisha. Ukiita fundi ujue 50,000 zimekutoka.
 
Mimi natumia dish la star times. Kuna mwenzetu amesema tusubiri. Ni vyema tukapata taarifa kwa wahusika juu ya kusubiri.
 
Mimi natumia dish la star times. Kuna mwenzetu amesema tusubiri. Ni vyema tukapata taarifa kwa wahusika juu ya kusubiri.
Ni hivi kama unatumia dish na receiver za startimes,inabidi usubiri wao,maana channel za mengi wamehama saterait kwa hiyo startimes inabid waifuate ili waingize kwenye saterait yao ya sess 5,kuwa na subra usijisumbue na dish lako.
 
Back
Top Bottom