Ustaadh
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 413
- 20
Tumekuwa wepesi wa kulalama kuhusiana na mustakabali wa taifa letu lakini "watawala" ni kama hawaelewi lugha tunayozungumza au wanabeza tunayolalamikia.
Kipi kifanyike kutunusuru na maangamizi ambayo nadhani hayako mbali? Au tuvumilie hii nusu shari huku tukisubiri shari kamili?
Tusaidiane mawazo...........
Kipi kifanyike kutunusuru na maangamizi ambayo nadhani hayako mbali? Au tuvumilie hii nusu shari huku tukisubiri shari kamili?
Tusaidiane mawazo...........