amadala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 3,641
- 10,372
Hello 🤗
#UNAAMBIWA: Nchini Japan kulala ofisini kwa saa kadhaa baada ya kupiga kazi bado kumeendelea kutokuwa ni kosa la kufukuzwa kazi au Boss kuchukizwa.
Mfanyakazi anayelala ofisini kwa muda mfupi kidogo huonekana kuwa ni Mfanyakazi hodari na alama ya ushindi kwa Boss kwamba amefanya kazi sana na anatambua umuhimu wa kupumzika kidogo ili kupata nguvu mpya ya kuendelea kulipambania kombe.
Vipi kwa nchi zetu suala la mfanyakazi kujipumzisha kidogo limekaaje? Na mwajiri huwa anapata picha gani?