Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Anatafakari kwa makini mjadala
mzee wa msituni
tatizo kuota kwa sauti uliyokuwa unayafanya usiku loo!
Eti huyu ana akili kuliko Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba!!!!!!!!!!!!! Maajabu hayataisha mpaka Yesu akirudi
huyu ata sijui ameingiaje bungeni, angekua raisi ningehama nchi
Kile kiti cha mnepo jamani, hata weye unge lala ka yeye. Mwacheni kapteni wetu huyoooo. Loh! Mapaparazi baasi tuuu mliipataje hii au ya kuchonga? Anazitafakari points za kuwagandamiza ninyi wapinzani wa serekali 3. Ngoja aamke mtaipata fresh. Welcome here Lizabon
akitafakari ni namna gani anaweza kuingia msituni
Jana yake alikuwa amelewa sana. kwa kireno wanaita ana babalazi pombe ya jana bado inamsumbua
Anatafakari kwa makini mjadala
Hawa ndo wanatuingiza kwenye mikataba ya kihuni. Ikifika wakati wa kupiga kura utasikia ndiioooo. Wakati hajui hata kilichoongelewa.
wenyewe wanadai kuwa hapo huwa hawalali bali "wanatafakari jambo"
Inaruhusiwa kama hivyo hakuna onyo lolote kwa anayelala humo ila asije chafua hewa kwasababu watu wenye matumbo makubwa balaa kwa kuachia mabomu usingizini.
Katiba mpa itoe adhabu kwa wale wasinziao bungeni!
NA Huyu Naye atakuwa Rais Mtarajiwa?![]()
Ha ....
Kuna watu wana bahati sana kazini wanaenda kulala siku ikiisha chake kimeingia tayari
NA Huyu Naye atakuwa Rais Mtarajiwa?
![]()