Kulainisha mikono

Kulainisha mikono

osha mikono na maji ya vugugvugu...
kausha jimwagie vinager kwenye mikono ..
jinyunyuzie baby powder kila siku baada ya kazzi baada ya dk 10 jioshe na maji ya vugu vugu. pamka lotion yeyote yenye moisture

utakuwa mganga wa kienyeji si bure wewe
 
helloooooooooow

Kwa anaejua dawa, sabuni au mafuta yoyote ya kupaka mikono iwe laini aweke hapa please. Nahitaji kusolve hilo janga mahali.

Enjooy

mboja juzi nimekusalimia nikakushika mikono nikakuta mlaini kama ya miss chagga? \\

au unataka kumfanyia mtu masaji?
 
Last edited by a moderator:
helloooooooooow

Kwa anaejua dawa, sabuni au mafuta yoyote ya kupaka mikono iwe laini aweke hapa please. Nahitaji kusolve hilo janga mahali.

Enjooy

kwanza kama unadrive hakikisha steering unaivisha steering cover halafu kama unafanyaga kazi ngumu zinazotumia mikono vaa gloves always mwisho yafanye mafuta ya nazi ndio mafuta yako
Lotion na mafuta mengine yapo lakini ni chemical tupu kuna madhara kama cancer ya ngozi in futute
 
hyo walainisha gaga la mkono la bibie nini....?ukitaka mikono soft punguza suluba on ur hands ie kushika shika maji,majembe,and paka hand oil au lotion mara kadhaa kwa siku
 
hyo walainisha gaga la mkono la bibie nini....?ukitaka mikono soft punguza suluba on ur hands ie kushika shika maji,majembe,and paka hand oil au lotion mara kadhaa kwa siku

hahaaa,,nimekutana na hii case inabidi nitoe counseling aise ndo natafuta nondo
 
mboja juzi nimekusalimia nikakushika mikono nikakuta mlaini kama ya miss chagga? \\

au unataka kumfanyia mtu masaji?

haha,,si umeona miss chaga alivokuwa anamwaga maujuzi hapo juu?? Mi nauliza tu kwa faida ya wengi
 
Nasikia hata punyeto inalainisha mikono... jaribu 1×3 kwa siku.
 
loweka mikono yako kwenye maji ya uvuguvugu kwa dk 8 ukishaitoa paka mafuta ya vaseline
 
Mikono laini ina raha yake bwana!!!! Ni lazima uweze kutofautisha mkono wa me na ke!!!!
 
Back
Top Bottom