Kula samaki: Ushauri

Kaizer kwani kule nyumba ya MUNGU hakuna samaki kaka? mbona unawezakula kama ulavyo kwenu? Au ndo mambo ya ukienda Roma eh?

Haya umepewa majibu hapo juu
1. Ule ikisha umgeuze
2. Umle ikisha toa ule mfupa wa kati ili uendelee kula upande wa pili.

hahahah haya mie yangu macho.
 
Mi kwa utaratibu wa kawaida, nilimgeuza..lakini naona sio,

sasa hii ya kutoa mfupa wa kati bila kumgeuza si nitajikuta upande wa pili vile vile ama kinachosumbua ni namna ya kufikia upande wa pili?

miss you!
 
Pretaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wewe ndo maana Babla yuko sambamba na wewe !!

LOL FL1 hujaona alivomnasa kibao siku ile..Preta hataki mchezo siku hizi! nifungie basi yule samaki ni do ze nidiful
 
Back
Top Bottom