FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,373
Kinajigeuza chenyewe kumbe shurti kigeuzwe
Mh huyu ndo yupi sasa Ngadu??Kinajigeuza chenyewe kumbe shurti kigeuzwe
Wapwa na mabinamu
of recent nimehamia pemba ambako samaki ni chakula chao cha kila siku
ila mi kutoka bara naona maisha yatakuwa magumu kama nisipojua mila na desturi za kumla samaki
naombeni ushauri njia ipi bora ya kumla samaki hasa katika mazingira hayo?
natanguliza shukrani!:rolleyez:
Mh huyu ndo yupi sasa Ngadu??
kwa nini Dina..mi nimetoka bara ndo maana.....nilikuwa namgeuza tu ndo nimestuka...
ha ha bwana ngadu ndo mdudu gani kwanza ?
huyu shurti lake akiliwa upande mmoja unageuzia mwigine ..hata kichwa kinaliwa binamu ..ikiwezekana na mifupa kama meno yako ni meupe na yenye nguvu ..kwa raha zako
Isije ikawa umeenda na joho huko yakheeeeeeeeee, angalia usije rudi na kilembaaaaaaaaaaa
Hivi samaki ni amphibia au reptilia?
Kwanza nianzie hapo....!
he he he huyu nae anageuzwa?
with compliments from Yaeda
with compliments from Yaeda
haaa Preta huyu ndo Ngadu katoka baharini kaja nchi kavu?
hahaaa Preta acha fix jamani lol!!!huyo ndie ngadu mammy