Hebu isome sredi yangu vizuri nimetoa mfano.
Ah wapi zile zilikuwa story tu kama hizi za kuwekewa maji ya maiti kwenye msosi.
Annael kama unahasira na mama ntilie alikuibia bwanako mwendee umshambulie moja kwa moja yeye mwenyewe lakini siyo kuwaharibia wanawake wanaopambana na maisha haya magumu, kuwa muungwana.Mimi napenda kujipikia chakula changu kwangu, huwa sipendi kula kwa mama nitilie au sehemu wanapopika vyakula kiholela.
Hii ni baada ya kugundua asilimia kubwa ya mama nitilie wanatumia ushirikina kwenye biashara zao, na hatimaye kuweka uchafu kwenye vyakula. Yaani utakuta eti ndani ya ubwabwa wamechanganya maji ya maiti au kachanganya mkojo wake wa asubuhi!!! Hii inatia kinyaa sana lakini ndio hivyo.
Kunajamaa yangu wa karibu kanunua maandazi baada yakuanza kula akakutana na nywele kibao ndani ya andazi.
Utakuta mara nyingine anachanganya choo cha mtoto ndani ya chakula ili apate wateja wengi. Hii inatia kinyaa sana.
Baada ya kugundua hivyo niliamua kupika mwenyewe kwangu.
Ni hayo tu.
Sijasema wote. Kwanini bro nisiseme kitu ambacho kinatendeka? Pawepo utaratibu maalumu ili watu wasiingize issue za ushirikina.
Dah umenikumbusha mbalii...nliangaliaga ile movie ya 3idiots mpaka leo sili chapat za kununua baada ya kuona yule mama akimkunia mmewe yale mapele kile kifimbo cha kusukumia chapati..kula magengen yahitaj moyo
Mimi napenda kujipikia chakula changu kwangu, huwa sipendi kula kwa mama nitilie au sehemu wanapopika vyakula kiholela.
Hii ni baada ya kugundua asilimia kubwa ya mama nitilie wanatumia ushirikina kwenye biashara zao, na hatimaye kuweka uchafu kwenye vyakula. Yaani utakuta eti ndani ya ubwabwa wamechanganya maji ya maiti au kachanganya mkojo wake wa asubuhi!!! Hii inatia kinyaa sana lakini ndio hivyo.
Kunajamaa yangu wa karibu kanunua maandazi baada yakuanza kula akakutana na nywele kibao ndani ya andazi.
Utakuta mara nyingine anachanganya choo cha mtoto ndani ya chakula ili apate wateja wengi. Hii inatia kinyaa sana.
Baada ya kugundua hivyo niliamua kupika mwenyewe kwangu.
Ni hayo tu.
hahahaha hadithi ya kawawa funika kikombe hivi ilitokeaga kweli?
Na tutakula sana...Dunia hii wapi utapata wali wa nazi jumlisha nyama rosti, maharage nazi, chachandu, chainiz vikiwa vya moto vinaipuliwa kwa buku mbili tu.
buku mbili kwenu huko...kwetu uswazi buku tu!!!