Uchaguzi 2020 Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

Pascal hivi wewe ni mzima kweli kichwani, Magufuri anakubalika dhidi ya nani? Chama chake kinakubalika dhidi ya nani? Kujipendekeza sawa Pascal ila muogope na Mungu.
 
Kuna kazi kubwa kafanya JPM, kuitoa CCM kutoka kuzomewa mpaka inakuja kuonekana inanyanyapaa vyama vingine.

Matokeo yake anaonekana anavionea vyama vingine, anatekeleza ilani kadri anavyoweza mengineyo ni upungufu wa kibinadamu.
Jee kuitoa huko CCM katika kuzomewa hadi kuonekana inanyanya paa wengine ni kwa nguvu ya ushawishi (ambao ndio wajibu wa siasa) au kwa nguvu za dola?
Vipi hujui kuwa chama cha siasa hakitakiwi kupendwa kwa mtutu wa bunduki?
Hiyo ndiyo CCM ya sasa, ukimzomea tuu akakuona na kukuripoti polisi au ofisi ya chama basi ujue moto unao. Hapo hata kifo sio msamiati mgumu juu yako.
 
Ukiwa mtu wa amani inayotoka moyoni hulazimiki kuishi kwa hofu.
 
Kuna climate change siku hizi. Mvua ya vuli imekuwa nyingi kuliko kawaida.

Tusishangae wakati wa masika kukawa hakuna mvua kabisa..

Labda hii artificial rainfall kama hii iliyopita kwa 99.9%

Yajayo yanafurahisha.

Unaamini unafanya mengi mema lakini bado hujiamini mpaka ufanye figisu.
 
Mwisho wa CCM ni huu.
 
Mtu anapokua mnafiki kiasi hiki ni hatari sana!

Mtu mzima anaedanganya mbele ya wazima wenzake anaonekana mavi kabisa!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni uchaguzi to you?

Mimi nadhambi sana ila manafiki yaanze kufa kwanza!

You are insulting our intelligence kabisa!
 
Sawasawa, jee CCM inayo amani itokayo moyoni au ile ya jambazi avaaye joho la utawa?
CCM ina miaka 42 pale magogoni wakati mwingine ukongwe wake hugeuka sababu ya kuonekana ni chama chenye maovu.

Kumbuka maneno ya Marehemu Mugabe aliyoambiwa na Kikwete kuhusiana na wazungu kutaka kusikia hiki chama kimeondoka ikulu.

Wakati mwingine ule msukumo wa chama kuonekana kimepitwa na wakati huanzishwa nje ya nchi.
 
Phillipo acha kuchengesha mambo. CCM ina miaka 58 pale Magogoni!
Au wewe ukiwa na umriwako huo let's say 50 na ukabadili jina Leo kuitwa Chakaza ina maana mtu akikutana na wewe 2021 atasema una miaka miwili?
Ni 58 bwana, CCM ndiyo TANU ileile sema 1977 iliioa ASP na kuwa mwili mmoja.
Lakini bado kuna mambo unashangaa eti Leo hii bado yapo
IMG-20191111-WA0000.jpeg
tapatalk_1574062099006.jpeg
 
Phillipo acha kuchengesha mambo. CCM ina miaka 58 pale Magogoni!
Au wewe ukiwa na umriwako huo let's say 50 na ukabadili jina Leo kuitwa Chakaza ina maana mtu akikutana na wewe 2021 atasema una miaka miwili?
Ni 58 bwana, CCM ndiyo TANU ileile sema 1977 iliioa ASP na kuwa mwili mmoja.
Lakini bado kuna mambo unashangaa eti Leo hii bado yapoView attachment 1276311View attachment 1276313
Naona unachagua picha za kuleta humu jukwaani.

Ziweke na zile za vivuko vinavyojengwa pamoja na zile za zahanati nyingi tu zilizokamilika.

Chakaza umenasa kwenye mtego ule ule wa kina Godlisten Malisa wa kuchagua picha za huzuni.
 
Back
Top Bottom