Kuku Weupe Wabakwa hadi Kufa huko Muriet, Jijini Arusha.

Kuku Weupe Wabakwa hadi Kufa huko Muriet, Jijini Arusha.

Hivi kweli kuku wana rangi tofauti?
 
Moshi , chugga. Haya matukio mbona yanaongezeka? Turudi kwenye kumcha Mungu wajameni,
 
Kwa ushirikina hamjambo

Hakutakuwa na maendeleo mpaka mwisho wa dunia hii

Unakuta mtu mzima anakuambia eti huyo katajirika kwa ushirikina
Sasa kuku weupe watakuwa dili kwa muda mrefu sijui baada ya hapo watakuwa vyura?
Maisha huanza kuandaliwa ukisha zakiwa tu; sasa unakuta jitu shule halitaki; kazi vivu sasa likishafika miaka 30 ndiyo haya matokeo yake

Hata ukiliambia likabake nguruwe wa kisasa ili lisafishe nyota litakubaki; halina namna ;
 
Ahahaha mkuu % kubwa wako hivyo
Yaani jitu linaamini kabisa eti utajiri lazima kuna uchawi nyuma yake.
Na atabisha mpaka mishipa itoke,
Kama ulivyosema kuwa mpaka anakuwa hajui pa kuanzia na wengi wanaambiwa na mama zao kuamini uchawi.
 
no haiwezekani.....mbona dudu nyingi ni kubwa kuliko kuku ???
 
Back
Top Bottom