Wanafugwa ndani au nje?Nimewaacha kuku wangu wakiwa vizuri kabisa ile nimetoka kidogo nimekuta wamekufa wote sasa itakuwa nini wakuu??View attachment 3456613
Waulize ccm au moshi wa mwenge nyamhongolo umewadhuruNimewaacha kuku wangu wakiwa vizuri kabisa ile nimetoka kidogo nimekuta wamekufa wote sasa itakuwa nini wakuu??View attachment 3456613
Wassira aneua kukuWaulize ccm au moshi wa mwenge nyamhongolo umewadhuru
Pole sana mpambanaji jalibu chukua kuku mmoja ukampime kwa doctor ila mtaani kunafitina sanaNimewaacha kuku wangu wakiwa vizuri kabisa ile nimetoka kidogo nimekuta wamekufa wote sasa itakuwa nini wakuu??View attachment 3456613
Sawa mkuu hapo sina point tenaAcha masiala ndugu hili swala limeniumiza sana kuku wangu walikuwa wanataga