Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,099
Watu wengi wanapenda ulaji wa kuku waliopikwa kwa staili hii pasi na kujua asili yake........
Marehemu Mzee Robert Makange (1928-1999) ndiye muasisi kwa kuwa mmiliki wa iliyokuwa Tropicana Bar pale Nkrumah Street. Hakika kuku wale wa Tropicana walikuwa watamu sana!
Pamoja na kuwa mjasiriamali Mzee Makange alikuwa mwanaharakati wa kutafuta Uhuru kwa kuwa mwandishi wa habari na alifungwa jela miezi 6 kwa kuandika habari za "uchochezi"- (sijui kama Werema anajua hili)!
Hapa(Kulia) akiwa na Hayati Mwalimu Nyerere mwaka 1985.