Atakayebisha basi ubishi jadi yake.Mungu hakuumba yai, ila aliumba kuku.
Mungu hakuumba yai, ila aliumba kuku.
nimejikuta natungua tu kichekoa e i o u hizi ni herufi kuu tamka kwa sauti kuuu a e i o u......
Jamani wadau mnadhani yai na kuku kipi kilitangulia
There will never be an answer to that question!
You are terribly wrong! Mungu aliumba wanyama (si ndama)? na ndege warukao angani (SI MAYAI)! Kweli mkuu hapo hakuhitaji tochi jibu ndohilo hakuna jingine wala stori mob
nione badae nikupe daftari la mistari mikubwa na midogoJamani wadau mnadhani yai na kuku kipi kilitangulia
Bila kusahau penseli na kichongeo!nione badae nikupe daftari la mistari mikubwa na midogo
Jamani wadau mnadhani yai na kuku kipi kilitangulia