Given Edward JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 850 Reaction score 203 Oct 22, 2011 #21 Ni sawa na kuuliza mimba na mtoto nani katangulia.
mashikolomageni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 1,570 Reaction score 193 Oct 22, 2011 #22 wewe mwenyewe umeanza na neno kuku kwenye swali lako ndio jibu
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Oct 22, 2011 #23 What is kuku na yai ??
Azimio Jipya JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 3,363 Reaction score 1,135 Oct 23, 2011 #24 BUMIJA said: Jamani wadau mnadhani yai na kuku kipi kilitangulia Click to expand... ... Ni wewe Bumija ... Bila wewe kuwepo ... hilo swali lingetoka wapi ...!! how do you like that SIR?
BUMIJA said: Jamani wadau mnadhani yai na kuku kipi kilitangulia Click to expand... ... Ni wewe Bumija ... Bila wewe kuwepo ... hilo swali lingetoka wapi ...!! how do you like that SIR?
B BUMBU Member Joined Jun 21, 2011 Posts 19 Reaction score 5 Oct 23, 2011 #25 Kufuatana na biblia kwenye uumbaji mungu hakuumba mayai bali ndege ambao na kuku alikuwepo.hivyo kuku ndiye aliye tangulia
Kufuatana na biblia kwenye uumbaji mungu hakuumba mayai bali ndege ambao na kuku alikuwepo.hivyo kuku ndiye aliye tangulia