choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,650
- 2,989
Jana katka pitapita zangu alikuja mtu anauza mayai ya kuku, basi mimi na rafiki yangu tukamwita ili tununue, rafiki yangu yule akachukua mayai matatu akayaunganisha kwa ncha zake kisha akasema la katikati likizunguka ujue ni mazima, na kweli yai la katikati likafanya rotation.
Kisha akaliweka pembeni akachukua lingine tena likazunguka, nikamuuliza ni nguvu gani inafanya lizunguke akasema yeye hajui ila kwao ndio wanafanya hivo.
Sasa nimeleta hapa kama kuna wataalamu wanaojua hii njia, ni nguvu gani inafanya yai la katikati li rotate likiwa zima?