Kuku na yai kipi kilitangulia.asanteni

Kuku na yai kipi kilitangulia.asanteni

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,238
Reaction score
11,907
Jamani wadau mnadhani yai na kuku kipi kilitangulia
 
Hasa kuku wa kienyeji mana ndo wa asili
 
Nawewe jibu hili Mbegu na tunda nini kilitangulia!!Ukitoka hapo unapanda daraja na kuanza Darasa la kwanza naunaachana na chekechea!
 
Mungu hakuumba yai, ila aliumba kuku.
 
Probably kuku
coz God wouldn't look so majestic seating on an egg...
 
Mtoa mada umeshajibiwa, another chekechea p'se!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom