kuku mwenye kamba mguuni

Hahahaha kuku mwenyewe mzururaji hivyo lol.....umekuja tu hata maji hatujakupa ushakimbilia kwa majirani!

Kulikuwa na bonge la mwaliko wa hi sikukuu nikajikuta nimejumuika nasikitika hakukuwa na kilichobaki ningekuletea mambo ya pwani.
 
Kulikuwa na bonge la mwaliko wa hi sikukuu nikajikuta nimejumuika nasikitika hakukuwa na kilichobaki ningekuletea mambo ya pwani.

Haiwezekani ukose chochote cha kuniletea lol......basi ninunulie hata fanta orange tu lol!
 
Haiwezekani ukose chochote cha kuniletea lol......basi ninunulie hata fanta orange tu lol!

Unataka nijaze nyuki mezani? Unataka kuniambia hutumii vitu vikali ngoja basi niagize hata coke.
 
Hahahahahaha lol eti nyuki mezani khaaah......kwani nimeagiza asali jamani?:A S cry:

Hapana si unajua soft drink zinakuwaga na sukari? Ambayo kwa nyuki ni sawa na kamba kwa kuku mgen.i
Inakuja kwa ajili yako.
 
Attachments

  • 4 sweetlady.jpeg
    4 sweetlady.jpeg
    4.4 KB · Views: 51

Similar Discussions

Back
Top Bottom