Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 3,834
- 7,367
JF salaam 🙏
Bila shaka Kwa wafugaji wa kuku aina hizo mbili mtakubaliana na Mimi kuwa Tangu mwaka Jana katikati kumekuwa na uhaba sana wa vifaranga vya sasso na kroiler
Sijajua changamoto ni Nini hasa. Mwaka Jana nilidhani huenda umeme ulichangia kuwa na uzalishaji hafifu au usio kidhi mahitaji ya wateja.
Lakini Hadi Leo hii Hali imezidi kuwa mbaya zaidi.
Mfano kuku aina kroiler wanao zalishwa kutoka AKM Kutoka Dar na Sasso kutoka SILVER LAND TANZANIA Iringa (Hawa ndo wazalishaji wakubwa wa kuku chotara hybyf1)
Hao AKM hata no zao hazi patikani kabisa.Ningependa kujua Kwa wafugaji wa dar Bado wapo Hawa na wanazalisha?
Kama wanazalisha Kwa Sasa wanatumiwa no zipi?
Upande wa iringa Hali kadharika Kwa silver land wao ukiagiza hawakatai lakini kupata mzigo ni issue nyingine
Jamaa yangu aliagiza akapigwa Dana Dana mwisho akaletewa broiler na hayakuwa matarajio yake!
Kwanini serikali isiwaruhusu wakenya Sasa waanze kuingiza vifaranga nchini na Kwa bei nzuri ?
Maana Kwa Sasa Sasso wamefia Hadi 2100 kifaranga kimoja
Kroiler nao mara ya mwisho kupatikana walikuwa na 1800
Vifaranga ama kuku Hawa nilio wataka wanajua haraka sana na wanafugika kienyeji kabisa Kwa 100%
Naomba kujua Kwa anaye Fuga ama aliyewahi fuga kuku aina ya Tanbro aseme kuhusu:
*Ustahimilifu wa magonjwa
*Ukuaji wake
*Uzito wake huchukua muda Gani Hadi kufikia kuuzwa
*Wanaanza kutaga akiwa na miezi mingapi?
*Nikweli wanafugwa kienyeji kama kuku chotara wengine?
Nahitaji nifuge hata Hawa maana Kwa upande wa Sasso na kroiler nilio wazoea hawapatikani Tena!!
NB: KWENYE PICHA NI KROILER NA SASSO.
HILO JOGOO RANGI NYEUSI YEKUNDU SHINGONI NI SASSO LIKIWA NA MIEZI4 NA WIKI3 TU 4.6Kg
Karibuni