The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Lakini pia tunatakiwa kuzingatia kuwa hapa tunasoma maneno tu. Hakuna intonation, facial expression wala body language ya kusaidia kufikisha ujumbe.
While most people here might consider a person radical, people in the non virtual world might consider the same person using the same words fun or easygoing.
Let me be honest watu ambao hawamuelewi NN huwa wanapata nae shida sana hapa jamvini I've seen it many times.
Am I really that mean? If I am then I'll take that as a compliment because I thought I was I ruthlessly vicious...but I'll take mean over ruthless and vicious....lol.
But I'm glad you admit that you are mischievous.
Let me be honest watu ambao hawamuelewi NN huwa wanapata nae shida sana hapa jamvini I've seen it many times.
Hizi si mbivu, zimeoza! Kwanza sijawahi kupendwa na hii serikali yenyewe pamoja na kuikosoa koote, hayo matatizo mi nimeyakuta na nadhani ntayaacha. Sasa cha muhimu ni kuinyamzia tu iamue itakavyo....Kama huoni hasara kwa nini kila siku unalalamika mara uchumi mara umeme mara ohh sijui nini.
Kwa sababu imekutenga kama mtoto wa kambo ndo mana unajidai huipendi lakini deep inside unatamani ikupende kwa kukuhakikishia unapata huduma zote muhimu!
Hii ni sizitaki mbivu hizi.
Labda unikamate NN akiwa hayupo...ukitaka kunifanyia kitu mbaya nakimbilia kwa NN..tuone utanifanya nini...:lol::eyebrows:
So hapa unataka kusema nini
Au ni ujumbe gani unatupa hapa
Hahahah. .
I used ruthless to describe Hitler last week and I certainly don't think you are as bad so I would choose mean again and again.
As for admitting my mischievousness, who would I be kiddin but myself if I didn't.
I mostly agree with you. But then again words have meanings and words do hurt.
Naunga mkono sredi.
kuna mzembe alikuwa daily tukielekea kazini ananipatia offer ya sigara, majuzi nimemkosoa basi mzembe offer za fegi zote kasitisha. Hakuniudhi kwa kukasirika , ameniudhi kukatisha offer za fegi, nina mpango wa kumuomba razi.
Nimemaliza confession yangu
Kwanini kwenye jamii yetu watu hua wanapenda kuungwa mkono/kusifiwa hata pale wanachosema/fanya sio sahihi?
Nauliza kwasababu nimeona sana huku mitaani pia hapa JF. Yani mtu ukimkosoa anadhani/fikiri unamchukia, kwasababu tu hukubaliani na kile anachosema/amini. Je wewe mtu akikukosoa unachukia? Unadhani huyo mtu hakupendi?
Nasikitika kweli kuwa na watu wa aina hii kwenye jamii yetu maana kwa kutokua open minded and open to criticism wanapunguza wigo wa kujifunza. Mtu anapokukosoa/pinga unachojaribu kumweleza sio kwamba hakupendi bali anakupa wewe nafasi ya
kumcomvince/mweleza kwa undani kwanini unaamini
hicho unachosema hivyo chukua hiyo nafasi ya
kupanua uelewa wa huyo mtu mwingine from your point of view badala ya kununa.[/QUOTE
Nafikiri kwenye jamii yetu bado watu hatuelewi maana ya kukosoa.
Wengi wetu badala ya kumkosoa mtu unamshushua au sijui tuseme unamzodoa.
Mfano hata hapa jf mtu anaposema jambo mtu asipokubaliana nalo utasikia kilaza,masaburi,rudi facebook na mambo mengi na especialy ikiwa ni ID mpya.
Kwa hiyo swala la kukosoa lenyewe bado ni tatizo mtu anafikiri kumshushua mtu ndio kumkosoa.
Lakini kutokukubalina na kutoa sababu kwa nini hukubaliani kwa mwenye akili timamu hawezi kuwa na tatizo lakini wengi wetu mtu bila kumwambia neno la kudhalilisha anaona hajakosoa.
Hahahaha. . .
Hua anaonekana kama much-know (machino) flani hivi.
Words hurts nakubali. Naamini nimeshakwaza wengi kwa maneno yangu na si mara chache. Na wakati mwengine huwa najizuwia kucomment kwa kuwa najua itachukuliwa vibaya na mhusika.
Anyway kukwazwa mara moja moja sio mbaya, maana the world is not perfect nor fair