The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Tena wewe nitakukosoa hadi utoke MAGAMBA...:eyebrows:Kweli aisee ila sababu tushajua watu hawapendi kukosolewa au wanajisikia vibaya wanapokoselewa, tujitahidi kutumia namna nzuri ya kumrekebisha mtu ili asijisikie vibaya.
Very good Mwajuma! Most oftentimes it is not what you say but rather how you say what you say!
Mimi kwa kweli kukosolewa huwa sikwaziki na wakati mwengine huwa nina hamu hasa.
Lakini kusema ukweli huwa " na kupigwa butwaa" na baadhi ya majibu ya watu saa nyengine. Watu kila kitu wanakichukulia "personal"
Oh yeah?
Anywho, huu uzi umedhihirisha zaidi tu kuwa binadamu ndivyo tulivyo. Makosa na mapungufu ya wenzetu tunayaona kirahisi sana kuliko vile ambavyo tunayaona ya kwetu wenyewe.
Tena wewe nitakukosoa hadi utoke MAGAMBA...:eyebrows:
Is he delivering that message to someone au labda mimi na wewe NN uelewa wetu ndio sio mzuri.
kwa mara ya kwanza umenipongeza. Lol!
Ahsante hamisi kishindindo.
Tena wewe nitakukosoa hadi utoke MAGAMBA...:eyebrows:
Duh! Naona umefurahi kwelikweli. Ngoja nikutendee haki kikamilifu kabisa kwa kukugongea na like.
Daah afadhali bana..maana nilishaanza kujidhania labda mimi IQ yangu haijavuka vidato!
Serikali gani hiyo!? Kama ni hii hii ya Tanzania, sioni hasara
Ohhh yeahhh.
Ila ni kweli unayosema kwasababu watu hua wahajiangalii vile wanavyoangalia/angaliwa na wengine. Kwa mfano wewe. . . najua kwamba you can be pretty mean at times but I also know that I can aswell. Najua ni mchokozi na mkorofi na wakati mwingine likitokea tatizo mimi ndo naweza kua nilianzisha. Na kwa kujua hayo naweza kuchagua kama niwe hivyo au nisiwe. . . which is good maana akitokea mtu akanieleza kwamba nilichofanya/sema sio sitaona/lalamika kwamba naonewa kwasababu ukweli naujua.
Sometimes taking things personal is unavoidable. After all, behind most of these fake names are real people with real human qualities i.e. feelings. If we were robots may be it would have been much easier to avoid taking some of the things to heart. But we are not robots.
Kuna mada aliweka akisema kwamba furaha ya mwanameni bwana (mume) na kwamba wasiotaka ndoa hua wanaishia kupata frustration. . .wako tayari kuzaa na waume wa watu. . umri umeenda na mengine mengi Pia hua wanatumia mbadala wa kua kina "come stay" nikapingana nae kwamba frustration haziko kwenye dunia ya usingle na wala sio kila asitaka kuolewa anafanya hivyo kupambana na mfumo dume. Tukaendelea mpaka akarudi na kusema kwamba hata "come stay " ni ndoa wakati nyuma alisema hiyo ndio mbadala ya wale wapingaji ndoa and so so. Sasa naona kumwonyesha kwamba aliyokua anasema yalikua yanapingana haikumpendeza.
Labda unikamate NN akiwa hayupo...ukitaka kunifanyia kitu mbaya nakimbilia kwa NN..tuone utanifanya nini...:lol::eyebrows:nikikukamata weweeee..