The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
NN sikatai nakumbuka kuna several threads if not post uliishawahi kunikosoa if i had time ningekutafutia hata hiyo thread na post but hata kunikosoa huko definitely nilielewa ni kwanini hata kama tulibishana sidhani kama tulibishana kwa kugombana au kwa kuanzishiana kejeli sasa it different pale mtu unapomkosoa anakuanzishia kejeli nitakupa mfano mdogo jana kuna jamaa alianzisha thread hapa MMU akisema ameweka picha yake halisi kama avatar, and you commented "Some people man" nafikiri hakuelewa ulimaanisha nini ndio kuna mtu mmoja akamueleweshwa kwa kiswahili jamaa response yake kwako ikawa kwamba wewe una wivu sasa you can imagine something like that NN....hope we are on the same pageEasier said than done my dude. Most of us are so quick and eager to criticize others but get very defensive when the tables are turned.
Here we are criticizing those who don't accept others' criticisms but none of us has admitted that they have difficulty accepting others' criticisms.
So does this mean that all of us who have commented in this thread thus far take criticism well? Or is it too subjective of a subject?
sasa naona unafika mbali gumegume gani niliingia mkenge tena? mimi sijazungumzia personal issue kumbuka naona lizzy atoe mwongozo kabla hatujaelekea pabaya ohoooooooooookwa lipi sasa...kwani kama wewe mwenyewe ndo uliingia mkenge na kulivaa jimwanaume gumegume si wewe mweyewe..!? sio utusingizie wanaume woote..wengine tunaheshima zetu Smile..afu hata wanawake wa tabia hizi wapo...yaani wabishi ka nini ..!! kila anachosema yeye ndo anataka kiwe hivyo bila kujali mwanaume anatumia nguvu gani kutafuta....Nrudia tena ....tutake radhi kabla sijaomba mwongozo..oohoooo..!!
Daah mwambie aharakishe aisee...Hahahahah, . .
Fynest embu msifie BHT asije akasusa JF bure.
NN sikatai nakumbuka kuna several threads if not post uliishawahi kunikosoa if i had time ningekutafutia hata hiyo thread na post but hata kunikosoa huko definitely nilielewa ni kwanini hata kama tulibishana sidhani kama tulibishana kwa kugombana au kwa kuanzishiana kejeli sasa it different pale mtu unapomkosoa anakuanzishia kejeli nitakupa mfano mdogo jana kuna jamaa alianzisha thread hapa MMU akisema ameweka picha yake halisi kama avatar, and you commented "Some people man" nafikiri hakuelewa ulimaanisha nini ndio kuna mtu mmoja akamueleweshwa kwa kiswahili jamaa response yake kwako ikawa kwamba wewe una wivu sasa you can imagine something like that NN....hope we are on the same page
Heheheee kweli lakini. Na wengine sasa wakishajipatia vigroupie ndo inakuwa tabu tupu! Wakimuona tu kaosha kinywa chake hao wanakurupuka kugonga vi likes na vi thanks vyao vya kinafiki. I really hate groupies, especially the blind ones.
Hahahahahha eti "hunijui. . . sikujui achana na mimi".Next time mtu akinikosoa humu namtupia hiyo.
Nyie acheni tu iliishawahi kunikuta hiyo...hahahahahahahahah
TF umenivunja sana mbavu sina hamu ..Nimecheka sana..
Lakini twende mbele turudi nyuma, ndo makundi ya binadamu tulivyo. Sio wote ni strong characters ambao wanaweza kusimama kwa miguu yao.
Wengine wameumbwa kuwa bendera, lets appreciate God's creation ya tabia, na shukuru kama unahisi uko kati ya watu wenye strong character.
Wengine ni akina Nduhu Tabu.
sasa naona unafika mbali gumegume gani niliingia mkenge tena? mimi sijazungumzia personal issue kumbuka naona lizzy atoe mwongozo kabla hatujaelekea pabaya ohooooooooooo
Well naweza nikatulia tu nisubirie kupunguza makali next time au nikatoa angalau pole . This reminds me. . . yule jamaa wa jana ntampa pole.
Hahahaha!!!hata akitukana we mpe vipande vyake,tena akitukana ndo unajua vimemuingia huyo ila anajifanya kupotezea tu..
[h=2][/h]Kwanini kwenye jamii yetu watu hua wanapenda kuungwa mkono/kusifiwa hata pale wanachosema/fanya sio sahihi?
Nauliza kwasababu nimeona sana huku mitaani pia hapa JF. Yani mtu ukimkosoa anadhani/fikiri unamchukia, kwasababu tu hukubaliani na kile anachosema/amini. Je wewe mtu akikukosoa unachukia? Unadhani huyo mtu hakupendi?
Nasikitika kweli kuwa na watu wa aina hii kwenye jamii yetu maana kwa kutokua open minded and open to criticism wanapunguza wigo wa kujifunza. Mtu anapokukosoa/pinga unachojaribu kumweleza sio kwamba hakupendi bali anakupa wewe nafasi ya
kumcomvince/mweleza kwa undani kwanini unaamini
hicho unachosema hivyo chukua hiyo nafasi ya
kupanua uelewa wa huyo mtu mwingine from your point of view badala ya kununa.
Mi' kuna siku huwa nna hamu nikosolewe....(@-@)
Wasema kweli?
Hahahaa...it's true my dear. If you haven't seen people like that just be a little bit more observant and you will see exactly what I'm talking about. Na usikute washaanza kutumiana PMs sasa hivi...lol
Basi namie najiunga kumkosoa Smiley kwa kujenerolaiz. . . Mwongozo wako ndio huo.UMERIDHIKA?
Wallah...