But the thing is, I don't think I come off as Mr.Know-it-all. Au ndo yaleyale ya nyani na backside yake?
hehehehe I love u honey! hakyanani nakupenda kuliko chadema wanavopenda maandamano.Hahahhahah. . Kuna confession nyingine moja nasubiria hapa alafu tufunge thread.
Me likey this one. I owe you sushi.
Duh.....unampinzani kweli humu?
Words hurts nakubali. Naamini nimeshakwaza wengi kwa maneno yangu na si mara chache. Na wakati mwengine huwa najizuwia kucomment kwa kuwa najua itachukuliwa vibaya na mhusika.
Anyway kukwazwa mara moja moja sio mbaya, maana the world is not perfect nor fair
Make it "**** sushi" thank you very much :]
Unajua "Nick" kuna njia ambayo NN huwa anatumia ku-respond au kuchangia/kujibu comment za watu naweza kusema he has his own style he never beats around the bush hilo inabidi ni mkweli and i give him credit on that one kuna thread ambazo nimeishambaa nae sana tukabishana sana lakini kwa ajili ya kupata maana nzuri ya kile tunachokijadili, thou at times watu huwa wanalalamika kuwa kiingereza chake kigumu sasa mimi huwa sielewi kigumu wapi ingawa tunaweza kuwa tunatofautiana level of understanding.So hapa unataka kusema nini
Au ni ujumbe gani unatupa hapa
What's up with those stars there? Did you cuss me out or something?
Ninaye ndiyo..
But the thing is, I don't think I come off as Mr.Know-it-all. Au ndo yaleyale ya nyani na backside yake?
I wrote that make it "t.ako sushi".......
Hawa wasojua vyakula vya watu, wamejua natukana! hahaha
Haswa ...yaani unaweza ukamwelewa mwandishi tofauti kabisa na alichokusudia mara nyingine....Maneno ya kusoma tu yanaweza kumuuma ntu zaidi kwasababu hujui anapoandika anakua kwenye hali gani.Mtu anaweza kua sacarstic usigundue. . . anaweza kua mean in a joking manner mwenyewe ukadhani kaandika huku kakunja sura kumbe mwezie anacheka/tabasamu hapo ilipo.
I can only think of one..... but I still think you win or maybe stiff competition
Unajua "Nick" kuna njia ambayo NN huwa anatumia ku-respond au kuchangia/kujibu comment za watu naweza kusema he has his own style he never beats around the bush hilo inabidi ni mkweli and i give him credit on that one kuna thread ambazo nimeishambaa nae sana tukabishana sana lakini kwa ajili ya kupata maana nzuri ya kile tunachokijadili, thou at times watu huwa wanalalamika kuwa kiingereza chake kigumu sasa mimi huwa sielewi kigumu wapi ingawa tunaweza kuwa tunatofautiana level of understanding.
Another person ni Gaijin "Gee" she's always straight na kama hakubaliani na wewe she will definitely tell you on the spot nakumbuka tulibishana nae sana kwenye thread ya "Atheists" but it was a good conversation and i gained some knowledge.
Another person Lizzy nakumbuka tulibishana nae kwenye thread "Forgiveness" it was a good conversation and at the end of the end i gained some knowledge and there was no hard feelings.
Nadhani ni kwasababu watu hawakuelewi na wala hawajaribu kukuelewa. Wameshajenga hiyo picha ya machino na hawataki kuachia. . . kiasi kwamba hata ukisema kitu kisichobeba ubaya bado watauona ubaya.Kama yule jamaa wa juzi na swali la "we una mtoto" .
Word😛oaUmeona eeh? That's why you are my dude! I owe you a cold one next time I'm in town!