Cognitivist
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,057
- 2,092
Aman iwe juu yenu.
Jamani tafadhali tusaidiane kwa jambo hili:
Nimekuwa nikimkatalia jamaa yangu hapa kwamba huwezi ukakopi secured document lakini yeye akanikatalia kwa kigezo kwamba katika karne hii ya sayansi na technologia hakuna kinachoshindikana.
Kwa hali hiyobasi waungwana naomba mwenye kuelewa jambo hili atusaidie kama inawezekana kukopi na kupesti SECURED PDF FILE.