Kukopi na kupesti

Cognitivist

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,058
2,092
Aman iwe juu yenu.
Jamani tafadhali tusaidiane kwa jambo hili:
Nimekuwa nikimkatalia jamaa yangu hapa kwamba huwezi ukakopi secured document lakini yeye akanikatalia kwa kigezo kwamba katika karne hii ya sayansi na technologia hakuna kinachoshindikana.
Kwa hali hiyobasi waungwana naomba mwenye kuelewa jambo hili atusaidie kama inawezekana kukopi na kupesti SECURED PDF FILE.
 
In this age of Science and Technology, there is nothing like 100% security. Only you can make it expensive to break it!
 
mbona ni rahisi sana, kama umeweza kuiona kwanini ishindikane ku copy, mpaka uneiona inamaanisha kua umo kwenye circle of trust so it's up to you tu keep a document secured.
 
Once an information is secured as per privacy policies implemented, it shall remain so untill a person(s) with access to it decides to do otherwise.
 
mimi trick yangu kubwa ni kuchange pdf iende text then nacopy kiulaini sema vitu kama magraph navikosa.

sema wengine wanaeka text katika image file yaani mfano naandika then napiga snap maandishi then hio snap ambayo ipo mfumo wa picha ndio naieka kwenye pdf hapo no way huwez chakachua.

mfano wa maneno kwenye picha
NeutraText.gif

hapo hata uwe mganga wa kienyeji hucopy
 
MBONA EASY PAMOJA NA KWAMBA MIE SIO MCHAWI ILA DAWA AMENIPA blackwizard
 
Last edited by a moderator:
mimi trick yangu kubwa ni kuchange pdf iende text then nacopy kiulaini sema vitu kama magraph navikosa.

sema wengine wanaeka text katika image file yaani mfano naandika then napiga snap maandishi then hio snap ambayo ipo mfumo wa picha ndio naieka kwenye pdf hapo no way huwez chakachua.

mfano wa maneno kwenye picha
NeutraText.gif

hapo hata uwe mganga wa kienyeji hucopy

kwani shida iko wapi?? si nina soma na kutype kene Computer nyingine kama ilivyo vilevile
 
mimi trick yangu kubwa ni kuchange pdf iende text then nacopy kiulaini sema vitu kama magraph navikosa.

sema wengine wanaeka text katika image file yaani mfano naandika then napiga snap maandishi then hio snap ambayo ipo mfumo wa picha ndio naieka kwenye pdf hapo no way huwez chakachua.

mfano wa maneno kwenye picha
NeutraText.gif

hapo hata uwe mganga wa kienyeji hucopy

hapo ukiweka in OCR software kazi kwisney unaipata in txt
 
hapo chief tunaongelea secured data it means zina umuhimu wake Mkuu let's say ntapata pesa kwa kuziuza hapo mkuu hata ziwe page ngapi nta type tu.

Je kama hizo data zina michoro uta zitype. Halafu mimi nlidhan mnaongelea tricks na utaalam usiyo hitaji nguvu yan unatumia technology siyo kuchapa upya coz kama ni hilo hata aliyesoma secretarial course anaweza sana
 
Mkubwa hapo nimejibu kutokana na alivyi sema Chief, pia kuna OCR ina extract Tex from image, michoro kuna screenshot mkuu
 
kwan wakuu mimi nazitumia ie PDF pamoja na WORD ila sijajua tofauti zaö mpaka kuwe na kuconvert. Nijuzen tofauti kati yao
 
Kuna pdf nyengine (sio zote) zimeekwa ulinzi huwezi kucopy maneno.

Yani ukiclick na kuhighlit haiwezekani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom