Kuomba ni balaaBora kukopa bank au saccos, Na bora kukopa kuliko kuomba!
Mkopo una heshima kuliko kuomba!
Kuomba ni balaa,
Sema kuna wakati mambo yana tight unakua huna jinsi.
Huu sio uungwana hata kidogoKuna wengine wakikukopesha wanaenda kukutangaza.
Hii ni kutokana na mazingira ambayo wewe umeyatengeneza kwao. Usipende kujionesha kuwa unashida sana ya pesa. Kuna wakati huwa BIASHARA ZANGU zinayumba ninakuwaga na shida saaana ya kifedha. Unakuta sina hata 5,000/= kwenye wallet ila ninakuwa normal sana na sioneshi kupapatikia wala kujipendekeza kwa watu.Kuna baadhi ya watu ukiwa text wanadhani unataka uwakope pesa.
Hapana. Kukopana na kulipana ni sehemu ya maisha ya marafiki.Kumkopa mtu pesa kunadhalilisha sana
Mimi nilikuwa nina jamaa yangu mmoja nilikuwa ninamkopesha mimi tu kama zaidi ya mara 10. Nilipoishiwa mimi pesa nikaanza kumuomba yeye anikopeshe akawa hajibu kabisa SMS zangu wala WhatsApp.Uwe na rafiki unamkopa pesa na huwa unamlipa kwa wakati lakini yeye hajawahi kukukopa nayo inafedhehesha sana siku mkigombana atatumia nafasi hiyo kukunyanyasa.
Kutokuwa na hata 100 hiyo sio shida, shida ni pale unataka tatua tatizo au jambo linalohitaji 1000 then iyo 1000 huna.Hii ni kutokana na mazingira ambayo wewe umeyatengeneza kwao. Usipende kujionesha kuwa unashida sana ya pesa. Kuna wakati huwa ninakuwaga na shida sina hata 5,000/= ila ninakuwa normal sana.
Ni bora rafiki anayekupa 100 kwa moyo mmoja kuliko yule anayekupa 1000 kwa masengenyo.Kutokuwa na hata 100 hiyo sio shida, shida ni pale unataka tatua tatizo au jambo linalohitaji 1000 then iyo 1000 huna.
Umenichekesha sana kaka mkubwa hahahaaaaanaja naja wewe thread zako huwa ni za malalamishi tu, tena ya pesa, hunaga shukrani itakuwa
Upo sahihi pia.Kutokuwa na hata 100 hiyo sio shida, shida ni pale unataka tatua tatizo au jambo linalohitaji 1000 then iyo 1000 huna.
Umeelewa concern lakini.Ni bora rafiki anayekupa 100 bila kinyongo kuliko yule anayekupa 1000 kwa masengenyo.