They could have done it more diplomatically though, maana when you mess with those guys, you play with our National Security. Also wanasahau kuwa in order for Dawasco to request money for expenditures and stuff it has to go through the cabinet kabla ya kwenda bungeni, sasa kama wanawasumbua watu wa ulinzi, si Mwinyi anaweza kugoma kidogo kule...this should have been handled more diplomatically. Dawasco wangemuambia Prof kwanza, "Mzee ongea na Mwinyi maana wale jamaa wanatuchezea..."
Ila naamini kwamba fujo zilifanywa na watu wa chini ambao hawakutumwa na mtu na watashughulikiwa.
Kuhusu kupatikana Milioni 400 za mpira, hiyo si order ya bwana mkubwa ambaye anavalue mpira na mbwebwe kuliko basic huduma kwa wananchi. Seikali kutoa hela kwa huduma ni process ngumu sana, ila nenda ukaombe pesa za mradi fixi and you promise an official a commission, uone utapata pesa gani.
Hii attitude ya kuweka special preference kwa watu wa ulinzi ndiyo inayo create monsters.
Rule of law lazima ifuatwe, usipolipa unakatiwa, haijalishi kama wewe mwanajeshi,askofu, mbunge, waziri, serikali ya Zanzibar au mungumtu yeyote aliye katika jamhuri yetu.
Nyerere alishasema nchu yetu inahitaji rais "kichaa" ili iendelee, huyu kichaa aliyepo maji anayehatarisha maisha yake by taking on the army anastahili medali.
Kumbukeni maji ni biashara na kutolipa bili kunachangia miundombinu kutotengenezwa na wengine kutopata maji.

Obviously there is an exception to every rule, na kukata umeme/maji Muhimbili kwa sababu ya deni kutawaumiza wagonjwa ambao hawajahusika.
Swala la wanajeshi ni tofauti kwa sababu hawana urgency kama ya wagonjwa wa Muhimbili.Wanajeshi wamezoea kupata preeferential treatment na jamii imekubali kuwa ni sawa mwanajeshi kutolipa umeme, na ukimdai atakupiga.This needs to stop.
Next stop serikali ya Zanzibar.Muungano usiwe ransom.
ni wakati gani jeshi linakuwa siyo urgent? Sera ya Tanzania ya Usalama ni Utayari wa vita. Ukiwakatia maji Jeshi hauwaweki tayari kwa vita. So that sounds like urgent to me. What say you?
Hii attitude ya kuweka special preference kwa watu wa ulinzi ndiyo inayo create monsters.
Rule of law lazima ifuatwe, usipolipa unakatiwa, haijalishi kama wewe mwanajeshi,askofu, mbunge, waziri, serikali ya Zanzibar au mungumtu yeyote aliye katika jamhuri yetu.
Nyerere alishasema nchu yetu inahitaji rais "kichaa" ili iendelee, huyu kichaa aliyepo maji anayehatarisha maisha yake by taking on the army anastahili medali.
Kumbukeni maji ni biashara na kutolipa bili kunachangia miundombinu kutotengenezwa na wengine kutopata maji.
Sasa JWTZ wakifanya revolt shauri ya kukatiwa maji tutafanya nini? Sababu za coup wakati mwingine ni vitu vya kijinga kama hivi kukatiwa maji! DAWASA wanacheza na moto!

siyo suala la exceptions, suala ni kulikuwa na ulazima wa kuwakatia maji jinsi walivyofanya? Was that the only alternative left kwa DAWASA? Katika uongozi siyo kufuata sheria tu (letter of the law) lakini pia kufuata nia ya ile sheria (spirit of the law).
Kwani JW ndo wa kwanza kukatiwa maji? Mbona wengine pia walikatiwa maji?
Tukianza kutetea legality ya JW leo.. basi ziko many starategic institutions ambazo hazitapoan na hili!
Kama nilivyosema JW wajenge utamaduni wa kulipia tu hii pesa yetu ya kodi.. they must prioritise payment of utilities na nasema dawa ya deni ni kulipa na sii diplomasia maanake hizi pesa hutengwa ktk budget ---sasa zinaenda wapi???
Dawa ya deni/bill maji ni kulipa ...mimi sioni alternative!
Kuna utamaduni kuwa non-payment ni poa tu ..nthing will happen as JW na Mahospitali ni strategic institutions.. je tupo ktk vita? Nchi ina amani..walipe tu ndo muhimu ya yote!
Mimi siafikiani na diplomasia ktk kulipia maji na umeme!
siyo suala la exceptions, suala ni kulikuwa na ulazima wa kuwakatia maji jinsi walivyofanya? Was that the only alternative left kwa DAWASA? Katika uongozi siyo kufuata sheria tu (letter of the law) lakini pia kufuata nia ya ile sheria (spirit of the law).
Kama suala ni kila ambaye hajalipia maji akatiwe, basi si wakate tu tuone, lakini why pick the army of all institutions? Inawezekana walifanya kile kinachowezekana ndani ya sheria lakini nadhani walionesha poor judgement.