Kukaa Kimya ni jibu pia (Haters)

Jiulize kwanini unaniita Mchawi?

JIULIZE MJANJA M1 KUNA KITU ANAFAIDIKA KUWA HUMU?

Jiulize, Jiulize, Jiulize.

Kuna mtu jana PM aliniambia kuwa JF ndio ulimwengu wenyewe, nikiweza kuishi humu vizuri basi sitoshindwa kuishi popote.

ASANTE KWA MATUSI YAKO NA MUNGU AKUBARIKI SANA.
sijakutukana utani tu usimaindi kama nimekukwaza nisamehe mkuu sio serious kama unavyohisi nakuzngua tu mkuu
 
Habari zenu,

Kuanzia sasa sitojibu mtu anaeniuliza "Wewe jana si uliaga, inakuaje bado upo".

Ukiniuliza swali hilo nakuhesabu kuwa wewe ni Hater, na mimi Mjanja M1 huwa sijibu ma-hater.

Huu ni mtandao wa Tajiri Max, yeye ndio mtu pekee anapaswa kuniuliza hilo swali kwasababu namjazia Server zake.

KAMA UNAJIJUA WEWE SIO TAJIRI MAX AU HAUNA UNDUGU NA TAJIRI MAX BASI KAA KIMYA.

Uzi Tayari.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Kuala Lumpur Malaysia
..upo sawa na siku zote ipo hivyo!
 
Ulikuwa vizuri sana,ulibeba heshima...ila umeamua kuvua gamba na kuonyesha uhalisia.Please,stop it my bro,mwanaume kamili sikuzote hawi na misuto au maneno mengi.plz
Nipo hapa JF kuinteract na watu, naheshimu kila mtu.

Kama wewe unanichukulia tofauti, nakupa pole sana.

Kuishi na watu wenye tabia tofauti ni kazi, nimejifunza jana na ninajaribu kwa mara nyengine tena.

Jana kuna watu walinitamkia maneno na kuonyesha wamefurahi mimi kusepa, siwezi kuwajibu watu hao sababu yamimi kurudi humu.

NIHESHIMU NIKUHESHIMU.

PEACE.
 
Habari zenu,

Kuanzia sasa sitojibu mtu anaeniuliza "Wewe jana si uliaga, inakuaje bado upo".

Ukiniuliza swali hilo nakuhesabu kuwa wewe ni Hater, na mimi Mjanja M1 huwa sijibu ma-hater.

Huu ni mtandao wa Tajiri Max, yeye ndio mtu pekee anapaswa kuniuliza hilo swali kwasababu namjazia Server zake.

KAMA UNAJIJUA WEWE SIO TAJIRI MAX AU HAUNA UNDUGU NA TAJIRI MAX BASI KAA KIMYA.

Uzi Tayari.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Kuala Lumpur Malaysia 🇲🇾
Wewe jamaa natamani nijue umri wako inaonekana upo kwenye 17 mpaka 21
 
Habari zenu,

Kuanzia sasa sitojibu mtu anaeniuliza "Wewe jana si uliaga, inakuaje bado upo".

Ukiniuliza swali hilo nakuhesabu kuwa wewe ni Hater, na mimi Mjanja M1 huwa sijibu ma-hater.

Huu ni mtandao wa Tajiri Max, yeye ndio mtu pekee anapaswa kuniuliza hilo swali kwasababu namjazia Server zake.

KAMA UNAJIJUA WEWE SIO TAJIRI MAX AU HAUNA UNDUGU NA TAJIRI MAX BASI KAA KIMYA.

Uzi Tayari.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Kuala Lumpur Malaysia 🇲🇾
Mkuu nini tena, 🤔🤔
 
Back
Top Bottom