Kujua huyu ndo yeye

Kujua huyu ndo yeye

Nilitolewa dinner na mkaka kutoka Kigoma, kwakweli tambo lake lilinivutia mpaka kukubali kubadilishana namba za simu. Baada ya ile dinner, nilishafanya maamuzi ya kumsahau, mwanaume muda wote anajiongelea yeye tu, aongee unayayaona ya maana basi no anaongea yale ya maana kwake, si unajua Kigoma/Zaire, kuvaa. Mimi mashati ninanunua duka hili, viatu vyangu mimi ninaagiza duka hili, mimi suit za ......sivai.
1.Sasa wewe, leo ndiyo nimekujua, nipe basi muda na mimi niongee.
2.Hii ni dalili huko tunakokwenda hakuna lingine zaidi ya kuvaa.
 
Haaahaaa uwiiii nimecheka
[emoji23][emoji23][emoji135]
 
Licha ya jamaa kuwa vizuri ina wezekana alichomoa vibomu vya huyo dada koz tabia zao tusha wasoma ukisha sema upo vzr utasikia mara home luku imeisha na baba hana hela baby ni nunulie basi na mimi kivits cha kwenda job daladala mchosho. Sasa kama gear zake zote zimefail alafu msela ndio kama hivyo anataka kula mzigo atembee zake mwanadada lazima aseme jamaa sio Mr. Right
 
Kwa vyovyote first date huwa inatawaliwa na unafiki tuu hata mkali atakuwa mpole.. Anae kula vibaya atakula vizuri.. Ni vigumu kujua mtu sahihi kwa kigezo cha first date maana kila mtu hujiandaa na kuigiza....

Na hapa ndio wanawake hunaswa maana hujipa matumaini makubwa huko mbele ndio ana anza kujuta..maana kuigiza kunachosha lakini kuigiza siku ya kwanza kila mtu anaweza....
Ngoja nisave hii kwa matumizi ya badae teh
 
Either alikuficha or aligundua jamaa anajielewa but yy bado anatamani kulanda landa
 
Ni ngumu sana kujua huyu ndiye .. Binadamu tuwanafiki sana unaweza dhani ndiye huyo kumbe siyo.. Kungekuwa na sign basi vilio vingepungua kabisa...
Kinacho fanyika ni kubahatisha tuu.
Tunabahatisha ndio Ila vigezo na masharti kuzingatiwa,hebu fikiria hupendi mtu anaeendekeza uganga alafu unakutana na mtu anakusimulia nilienda kwa mganga flani ana nguvu sana kamzidi Yule mwingine kwa haraka haraka kakutofautishia waganga Kama nane hivi aliowaendea na wewe hupendi haswa hizo issue nambie ukweli utarudi hapo? Kumbuka ulienda kwake muanzishe mahusiano yenye future mbele
 
Mtoko wa kwanxa tu jamaa hajaomba game na sio wa kujirusha ndomana kaondoka mapema na kumuacha manzi.

Hivyo ndo vigezo alivyofail.
 
Dada usikariri hivyo, kuna wanaume wengi sana sikuhizi wanaweza kusoma saikolojia ya mwanamke na akikutaka hata kama anakupenda vipi hawezi kukuingia kwa gia ya kujisifu na kujipandisha sana na still asiwe sahihi kwako.

Mwingine unakuta ni domo zege na gia yake ya kumpata hata mwenzi wa maisha yake ni katika kujisifu na anaamini ktk kujisifu mbele ya mwanamke. Hivyo kwa kipimo hicho sio guarantee.

Thats all.
Kumbuka ni mtoko wa kwanza anaweza kunisoma vip? Na nimesema naweza kumsapoti pia au kuanzisha mada zitakazonipa majibu ninayohitaji,na huo ni mfano tu kwenye maongezi mengi yanajulikana tu
 
Mwingine unamuangalia anavyowatreat wahudumu unajua huyu ndie au sie hatakama mtakuja shindwana baadae Ila ni kwa mengine mfano mi nilitoka na mmoja mtoko wa kwanza pale tulipokua kulikua na tamthilia inaendelea basi kila nguo aliyovaa star wa movie hiyo eti ananambia na mie ninayo huwa napendeza mara ile nilinunua juzi mara ile nilimgawia rafiki yangu yeye hapendezagi, hahahaaaaaaaa
 
hua siwezi kujizuia kicheko yaani!
Napenda sana kucheka sana tu
 
Mwingine unamuangalia anavyowatreat wahudumu unajua huyu ndie au sie hatakama mtakuja shindwana baadae Ila ni kwa mengine mfano mi nilitoka na mmoja mtoko wa kwanza pale tulipokua kulikua na tamthilia inaendelea basi kila nguo aliyovaa star wa movie hiyo eti ananambia na mie ninayo huwa napendeza mara ile nilinunua juzi mara ile nilimgawia rafiki yangu yeye hapendezagi, hahahaaaaaaaa

Hiyo ya namna anavyowatendea wahudumu ni kweli kabisa.

Ni ishara na kipimo kizuri cha jinsi gani anavyoheshimu watu wa kada tofauti.

Kuna watu huwa wanatumia kauli mbaya sana dhidi ya wahudumu utadhani hao wahudumu sio watu wanaostahili heshima na kuheshimiwa.
 
Ni rahisi sana kujua kama kuna compatibilities na malengo yenu yanaendana.Kuna baadhi ya vitu mnapaswa kuwekana wazi mfano una malengo gani ya baadae n.k.Halafu kunakuwa na baadhi ya watu wanaboa mfano mtu analeta matani mengi kupitiliza hata vitu muhimu vinavyohitaji usikivu wa umakini mtu anachukulia masikhara au baadhi ya watu wanaongea lugha za ajabu au inawezekana unaona tu kama hakuna chemistry lkn hii inategemea na msichana pia anataka mtu mwenye personality gani mfano kama unataka mtu mcheshi atakayekuchekesha na usiku kucha hata jino la mwisho halijaonekana mnaanza kuongelea hali ya hewa hapo jua ni bila bila...Yaani vitu vipo vingi vinavyoweza kutumika kama vielelezo kwamba mtu huyu hafai kupewa nafasi ya pili au hamtoweza kuvumiliana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa vyovyote first date huwa inatawaliwa na unafiki tuu hata mkali atakuwa mpole.. Anae kula vibaya atakula vizuri.. Ni vigumu kujua mtu sahihi kwa kigezo cha first date maana kila mtu hujiandaa na kuigiza....

Na hapa ndio wanawake hunaswa maana hujipa matumaini makubwa huko mbele ndio ana anza kujuta..maana kuigiza kunachosha lakini kuigiza siku ya kwanza kila mtu anaweza....
Nakuunga Mkono Kabisa, Swala La Mahusiano Halitegemei Uwezo Wa Ubongo Peke Yake. Tabia Ya Mtu Ndio Kitu Cha Muhimu Zaidi, Sasa First Date Peke Yake Haiwezi Kukuonyesha Kama Ndiye Ama La!
Labda Kama Utakuwa Ni Mmoja Kati Ya Wale Ambao Wana Uwezo Mkubwa Wa Kutumia Hisia Zao Katika Kung'amua Mambo, Ingawa Nayo Sio Guaranteed 100%.
 
Ni rahisi sana kujua kama kuna compatibilities na malengo yenu yanaendana.Kuna baadhi ya vitu mnapaswa kuwekana wazi mfano una malengo gani ya baadae n.k.Halafu kunakuwa na baadhi ya watu wanaboa mfano mtu analeta matani mengi kupitiliza hata vitu muhimu vinavyohitaji usikivu wa umakini mtu anachukulia masikhara au baadhi ya watu wanaongea lugha za ajabu au inawezekana unaona tu kama hakuna chemistry lkn hii inategemea na msichana pia anataka mtu mwenye personality gani mfano kama unataka mtu mcheshi atakayekuchekesha na usiku kucha hata jino la mwisho halijaonekana mnaanza kuongelea hali ya hewa hapo jua ni bila bila...Yaani vitu vipo vingi vinavyoweza kutumika kama vielelezo kwamba mtu huyu hafai kupewa nafasi ya pili au hamtoweza kuvumiliana.

Wewe GawjusYou huwa unaangalia vitu gani?
 
Hiyo ya namna anavyowatendea wahudumu ni kweli kabisa.

Ni ishara na kipimo kizuri cha jinsi gani anavyoheshimu watu wa kada tofauti.

Kuna watu huwa wanatumia kauli mbaya sana dhidi ya wahudumu utadhani hao wahudumu sio watu wanaostahili heshima na kuheshimiwa.
Ni kweli nyani ngabu
 
Ni rahisi sana kujua kama kuna compatibilities na malengo yenu yanaendana.Kuna baadhi ya vitu mnapaswa kuwekana wazi mfano una malengo gani ya baadae n.k.Halafu kunakuwa na baadhi ya watu wanaboa mfano mtu analeta matani mengi kupitiliza hata vitu muhimu vinavyohitaji usikivu wa umakini mtu anachukulia masikhara au baadhi ya watu wanaongea lugha za ajabu au inawezekana unaona tu kama hakuna chemistry lkn hii inategemea na msichana pia anataka mtu mwenye personality gani mfano kama unataka mtu mcheshi atakayekuchekesha na usiku kucha hata jino la mwisho halijaonekana mnaanza kuongelea hali ya hewa hapo jua ni bila bila...Yaani vitu vipo vingi vinavyoweza kutumika kama vielelezo kwamba mtu huyu hafai kupewa nafasi ya pili au hamtoweza kuvumiliana.
Hapo kwenye masikhara. Unakuta mtu kila kitu anachukulia masikhara na kuchekacheka hovyo.... Sirudi tena.
 
Back
Top Bottom