Kujua huyu ndo yeye

Kujua huyu ndo yeye

T
Kwa vyovyote first date huwa inatawaliwa na unafiki tuu hata mkali atakuwa mpole.. Anae kula vibaya atakula vizuri.. Ni vigumu kujua mtu sahihi kwa kigezo cha first date maana kila mtu hujiandaa na kuigiza....

Na hapa ndio wanawake hunaswa maana hujipa matumaini makubwa huko mbele ndio ana anza kujuta..maana kuigiza kunachosha lakini kuigiza siku ya kwanza kila mtu anaweza....
Tosha mzee,inatosha
 
Mie naweza changia kwa kuelezea mifano kadhaa hapa, na si kuwa inanihusu ila imeshatokea sana kwa wadada.
1. Siku ya date wako watu 3, Kate, Prince na baba Mutta. Prince ndo alimpenda Kate ila kwa heshima na kwakuwa alikuwa na nia ya kumuoa Kate akahisi akimfata binafsi atamwagwa kwa kudhaniwa anataka kumchezea Kate. Prince anamtumia baba Mutta ambaye ni mtu mzima kidogo kuomba lunch date na Kate.
Kate anakubali mtoko kwa heshima ya baba Mutta. Ndani ya mtoko huo wa mlo wa mchana baba Mutta ndo anaelezea nini kinaendelea, baada ya Kate kusikia hayo hamu ya kuwa na Prince inamuisha na anajiambia moyoni nikitoka hapa hanipati ng'oo.... kwani?
Kwanza Prince hajiamini hadi atumie mtu kuomba date, hakufurahishwa na Prince kuwa makini na kuuliza bei ya chakula kwanza ilhali ni mtoko wa kwanza.... kwa Kate aliona jamaa si mkarimu.

2. Jamaa yuko presentable ni mcute baada ya kumzikimikia mdada anaacha namba yake ya simu kwenye kikaratasi na kumpa mdada. Baadavya wiki mdada anamtumia ujumbe mkaka na maongezi yanaanza. Mkaka anaomba mtoko wa jioni siku ya kwanza baada ya kufika dakika tatu baadae rafiki za jamaa walikuja na wakakaa nao meza moja hivo hawakuwa na nafasi ya kufahamiana. Hii ilijirudia mara 3, bidada akamwambia hatufahamiani na naona hauko makini kuzingatia hilo, unapokuwa tayari utanitaarifu. Jamaa kuona ndege anamponyoka ndo mtoko wa 4 wakawa pekeyao. Kiufupi mdada alimzimikia mkaka tangu siku ya kwanza ya date jinsi alivyo mkarimu, mcheshi, ndio maana pamoja na kuboreka nae bado alirudi kwa mitoko 4 zaidi hadi wakawekana sawa.
Mkaka alikuwa na lengo la kuchovya na kusepa weeeh baada ya mchezo wa kwanza. ... jamaa alibadili mawazo.

Sijui vimeeleweka....

Kasie.
 
Mkaka alikuwa na lengo la kuchovya na kusepa weeeh baada ya mchezo wa kwanza. ... jamaa aibariki mawazo.

Sijui vimeeleweka....

Kasie.

Are you the one?
 
Are you the one?

Ooh yeah... I am the one.... though am not sure if I'll be the one (on the other side)

Please don't ask this again ....... you know Kasie for real....

Ai laab yuuu...
Sleet dliims ......
Mmuaah!!
 
Hey Kasie...why do you laab mii?

Tell it to the world...please...
 
Hey Kasie...why do you laab mii?

Tell it to the world...please...

Hahahahaaa you always dress a smile on my face.... A smile that I don't see it myself but I feel it as a sweet smile.... I found you dress a smile in your own ways... unique. ... ooh I love you dadiii

That's one of many things that draw me close to your chest...

They say to mingle two need to mesh..... I've been crossing the meshing items and 9 out of 10 mesh....

Esp the right back thing hahahahhh

Am taking a Shuteye dadii... Muah! !
 
Well, on that note I say *** you and in case you dream, then dream about me humping you.

Happy hump day.
 
angalia jinsia yako ndio maana kajibu ivo huyo aliporud kwa marafik wake full kumsifia
 
Hekima ni kitu kikubwa najua hata wewe kuna mtu unaweza sikia maongezi yake ukapata picha huyu ni mtu wa aina gani, nimetoa mfano hapo juu mtu ana majisifu ya kijinga kwa kuhisi kila mwanamke anazuzuka na Mali anaongea story ambazo mtu anaejielewa hawezi ongea naweza kumsapoti ili afunguke zaidi hapo ndio napojua hizi ni pumba na huu ni Mchele
Dada usikariri hivyo, kuna wanaume wengi sana sikuhizi wanaweza kusoma saikolojia ya mwanamke na akikutaka hata kama anakupenda vipi hawezi kukuingia kwa gia ya kujisifu na kujipandisha sana na still asiwe sahihi kwako.

Mwingine unakuta ni domo zege na gia yake ya kumpata hata mwenzi wa maisha yake ni katika kujisifu na anaamini ktk kujisifu mbele ya mwanamke. Hivyo kwa kipimo hicho sio guarantee.

Thats all.
 
Yeah ni kweli lakini.

Mtu anapofungua mdomo wake na kutema pumba, hiyo kwa wengine ni deal breaker.

So I get where you're coming from.
Pumba halafu na bad breath, no way Jose! I would even cut short the first date with any damn excuse.
 
Bad breath can cost you a lot..from a date to a job!

I am very unforgiving to anyone who offends my olfactory system.
 
Mkuu siku hizi kuna wasanii wa kufa mtu!
Tena wa jinsia zote!
 
Well, on that note I say *** you and in case you dream, then dream about me humping you.

Happy hump day.

Hhahahahahaaa look at what you did to me......

I had a flu.......

*** you right back darling hahahahahaha.

It was so sweeet.
 
Lugha mama ni Kisukuma?
ndivyo wasukuma huwa wanajidanganya. kuna kipindi nilikua nafanya nao kazi Siimiyu unashangaa kwenye kikao wanaongea kisukuma. sijui wanajua kila mtu msukuma. yaani

nami nanyamaza kimya wakimaliza naanza kuuliza inabidi waanze upya.
 
Kwa vyovyote first date huwa inatawaliwa na unafiki tuu hata mkali atakuwa mpole.. Anae kula vibaya atakula vizuri.. Ni vigumu kujua mtu sahihi kwa kigezo cha first date maana kila mtu hujiandaa na kuigiza....

Na hapa ndio wanawake hunaswa maana hujipa matumaini makubwa huko mbele ndio ana anza kujuta..maana kuigiza kunachosha lakini kuigiza siku ya kwanza kila mtu anaweza....

I agree with u!
Ni shida!
 
Back
Top Bottom