Kujua huyu ndo yeye

Kujua huyu ndo yeye

Unanikubali eh?😉

Kwa kweli hata mimi kwenye suala la lugha nakuvulia kofia nina imani unawaacha mbali watu wengi sana,ukizingatia watu walivyo wavivu wakujisomea hasa kiswahili hakika mtabaki wachache mnaokielewa kiswahili kwa ufasaha,mwanzoni nilidhani ni hodari kwenye english lakini pia nimeona baadhi ya posti ukiweka baadhi ya maneno kama staftahi na nilipoulizia nikaambiwa ni kifungua kinywa au break fast kwa english, hongera kwa hilo.je pambaja ni nini?
 
Cheki zana zangu. Nipo kamili gado na fiti kalikiti. Huwa sibahatishi hata kidogo.

1471549881349.jpg

Reina princess unaona mambo hayo?

[emoji432] [emoji432] [emoji432]

Na hiyo ni pati gazeti tu...nikiwaonyesha maktaba yangu mtazimia kabisa!

Ngoja nimwongeze na Kiranga
 
Cheki zana zangu. Nipo kamili gado na fiti kalikiti. Huwa sibahatishi hata kidogo.

View attachment 384013

Reina princess unaona mambo hayo?

[emoji432] [emoji432] [emoji432]
Heshima kwako mkubwa,ni kweli kabisa nilipata kuwasikia wale wazee wa kipindi cha kiswahili redio one wakisema hata wasomi wetu wengi hawatumii kamusi ziwe za kiswahili au za kiingereza iwe maofisini au manyumbani kwao,ndo maana ni wabobovu katiak lugha iwe kiswahili au english,na wakasisitiza kwamba kamusi (Dictionary) ni chanzo kizuri cha maarifa ya lugha,kutokana na ushahidi wako wa hizo kamusi kweli nimeamini maneno yao,kwani hapa jukwaani umekua bingwa wa misamiati mingi iwe ya english na hata kiswahili,ntajitahidi ninunue za kwangu na mimi ili angalau niweze kwenda sambamba na wamilisi wa lugha,Hongera kwa kulitambua hilo mapema.
 
Nasaba [pedigree] nayo inasaidia kujenga raghba ya mtu kwenye mambo mbalimbali ikiwemo hamu ya kutafuta maarifa zaidi kwa lengo la kujifunza.

Unapozaliwa umezungukwa na mavitabu ya kila aina, nyumbani kukiwa na maktaba iliyosheheni kila aina ya nyenzo za kujiongezea maarifa na ufahamu, na wazazi wakiwa wakufunzi, hata mtoto naye hatakuja kuwa tofauti sana na wao.

Tufaha huwa halidondoki mbali na mti wake. Lazima litadondokea karibu karibu tu na mtiwe.

Hivyo itakuwa ni jambo zuri nawe ukiwekeza katika moja au baadhi ya hizo nyenzo za kujiongezea maarifa na kufutia ujinga.

Kwenye hilo huwezi kukosea.
 
Naam ni kweli kabisa ulichokiandika,hakika Tufaha haliwezi dondoka mbali na mti wake,na kwa kweli nimekiona kutoka kwako hicho unachosema ulizaliwa umekuta umezungukwa nacho(vitabu),licha ya kuwa memba maarufu wa jf lakini umejitofautisha na memba wengine kutokana na umahiri wako katika lugha kwani nikiri wazi kuwa baadhi ya misamiati nimeipata kutoka kwenye michango yako,nashukuru kufahamu kwamba huu umahiri wako umeanzia mbali kutoka kwa wazazi,Asante kwa ushauri nitajitahidi nianze kununua kimoja kimoja kusudi niweze kusanya maarifa ya lugha ,Usiku mwema.
 
Kuna watu muonekano uko pouwa ila akiongea huamini kama ndio yeye. .
Sio wakaka hata wadada, tena wakaka na wadada wenye sura nzuri uwaga wakifungua mdomo unabaki "WTF?"
 
Back
Top Bottom