Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,354
Mtoko wa kwanza kwa asilimia kubwa husaidia kumjua mtu kwakiasi kikubwa sio asilimia zote
Hiyo ipo kote ikiwa tu unataka kuwa nae kwa sababu Fulani Kama ulivyosema wanaume unataka kipochi manyoya na wanawake wanataka pesa but Kama mtu anataka mtu serious wa kutengeneza maisha tukitazama mbele tuone future together siamini Kama nikiongea pumba utaniweka juu mana hata hao wa kipochi manyoya au pesa tutakua nao Ila tunajua kabisa hapa ni zeroUnajua kwa wanaume nadhani labda iko tofauti kidogo.
Na hapa ngoja nijiongelee mwenyewe ingawa nadhani pia wapo wengine wengi wataokubaliana nami.
Mwanamke hata akitema pumba, bado anaweza akawa fuckable.
So it's not a surprise for a man to stick around till he hits it and quits it.
Ambayo haina tofauti na wanawake kuwa na mwanaume kwa ajili ya pesa tu, wakati mwingine unakuta ni mdada aliye kwenye 20s lakini anatoka na kibabu cha miaka 70 na kitu huko.
Personality Nyani Ngabu
Be compatible..(at least)Meaning personalities have to mesh? Be compatible?
first date mwanaume kuwa muwazi 100%ni ujinga wa degree
Ni rahisi kuhitimisha baada ya mtoko mmoja kwamba muhusika anastahili kuwa mwenza au la. Kutokana na mazungumzo yaliyojiri katika mtoko husika. Muhusika anaweza akawa ni mtu anayejidai kupita kiasi na mazungumzo yake yanakuboa tu hataki kusikia chochote toka kwako bali yeye azungumze muda wote huku akijipigia debe kwenye mambo ambayo mrembo hayapi kipaumbele kihivyo katika kuamua kama muhusika anastahili kupewa mtoko mwingine au la.
Vipi akiwa zuzu?
Ushawahi kukutana na demu zuzu?
Kama huna subira na uvumilivu na watu wa hivyo unaweza ukaishia kuzaba mtu kibao kwa kosa ambalo huenda si lake.
Ni ngumu sana kujua huyu ndiye .. Binadamu tuwanafiki sana unaweza dhani ndiye huyo kumbe siyo.. Kungekuwa na sign basi vilio vingepungua kabisa...Hilo lipo sana, maana Kama ilivyo kwenu wanaume huwa mnawafata wadada wenye vigezo mnavyohitaji, na kwetu ni hivyo pia tunavitu tunahitaji toka kwa mwanaume na kwenye maongezi yenu huwa tunajua Kama ndie ama sie. Kwa mfano najitolea Mimi nikikutana na mwanaume alafu story zake anaanza kujisifia mara nina gari mbili mara nyumba nne sijui biashara nyingi tu huyo kwake sirudi Ng,ooo na namba yake naiblock
Ni ngumu sana kujua huyu ndiye .. Binadamu tuwanafiki sana unaweza dhani ndiye huyo kumbe siyo.. Kungekuwa na sign basi vilio vingepungua kabisa...
Kinacho fanyika ni kubahatisha tuu.
Kwa vyovyote first date huwa inatawaliwa na unafiki tuu hata mkali atakuwa mpole.. Anae kula vibaya atakula vizuri.. Ni vigumu kujua mtu sahihi kwa kigezo cha first date maana kila mtu hujiandaa na kuigiza....first date ni siku ya kutengeneza profile.acha mwili uzungumze na vitendo vishamili unajua mwanamke anapenda mwanaume anaeongea sana ila ajuw kuongea kwa taget.first date ficha baadh ya hulka km kujicfia sana,kucheka ovyo,
Kwa vyovyote first date huwa inatawaliwa na unafiki tuu hata mkali atakuwa mpole.. Anae kula vibaya atakula vizuri.. Ni vigumu kujua mtu sahihi kwa kigezo cha first date maana kila mtu hujiandaa na kuigiza....
Na hapa ndio wanawake hunaswa maana hujipa matumaini makubwa huko mbele ndio ana anza kujuta..maana kuigiza kunachosha lakini kuigiza siku ya kwanza kila mtu anaweza....
Kwa vyovyote vile mtu anaweza kupoteza nafasi ya pili kwakuwa ameshindwa kuigiza vizuri. Kwenye first date kila mtu ni mstaarabu, kila mtu ni mwenye huruma..Kweli kabisa..
Na watu wasingekuwa wanalishana viapo vya ndoa huku kwa wakati huo huo wana michepuko kila sehemu.
Kwa vyovyote vile mtu anaweza kupoteza nafasi ya pili kwakuwa ameshindwa kuigiza vizuri. Kwenye first date kila mtu ni mstaarabu, kila mtu ni mwenye huruma..
Kifupi kupata second date hutegemea na uwezo wa muigizaji .. Hakuna anaye weza kujua mtu sahihi kwa first date....
kabisa maana mala tu alipoanza kampeni laisi wa sasa alikua anasisitiza sana luga mamaHaya ni matunda ya laisi wetu wa sasa