Kujiuzulu waziri mkuu

Kujiuzulu waziri mkuu

wanaJF,
wakati wa mjadala wa escrow niliwasikia baadhi ya wabunge bungeni wakimtetea pinda km PM kuwa hana kosa na hivyo hana sababu za kuwajibika kwa suala la ecrow! mimi ninavyojua wizara zote ziko chini yake na anapoharibu waziri yeyote kaharibu yeye pia. Kabla ya mtu wa nje ya serikali (mfn, Kafulila a.k.a Tumbili) kuona uchafu wa wizara alipaswa PM awe wa kwanza kuliona na kukemea ndan kwa ndani.
Je yeye km waziri mkuu a haribu wizara gani ili awajibike?

Why do uneducated people have so much confidence?
 
Ndiyo maana nikasema Haachii mtu ngazi kwa ripoti ya Zitto. Na ndivyo ilivyokuwa , ripoti yake ilitaka waziri mkuu, na waziri wa nishati na naibu waziri wote wawajibishwe. Ikapigwa chini hapo hapo bungeni na ikakaa kamati chini ya Anna Kilango na yakatolewa maazimio mapya amabyo yalikuwa tofauti kabisa na ripoti ya PAC.

Leo watu wananiuliza FF vipi? FF sijui nini?

Mimi nawauliza, hawajuwi kusoma? au ndiyo upunguani wenyewe?

Punguani ni wewe uliyesema hakuna atakayeachia ngazi, hamad Prof. Muhongo huyo kajipiga chini mwenyewe, na asingefanya hivyo angefukuzwa.
 
wanaJF,
wakati wa mjadala wa escrow niliwasikia baadhi ya wabunge bungeni wakimtetea pinda km PM kuwa hana kosa na hivyo hana sababu za kuwajibika kwa suala la ecrow! mimi ninavyojua wizara zote ziko chini yake na anapoharibu waziri yeyote kaharibu yeye pia. Kabla ya mtu wa nje ya serikali (mfn, Kafulila a.k.a Tumbili) kuona uchafu wa wizara alipaswa PM awe wa kwanza kuliona na kukemea ndan kwa ndani.
Je yeye km waziri mkuu a haribu wizara gani ili awajibike?

A.k.a tumbili anakuja na hoja ya kumzabua pinda next week. Na wabunge wehu wa ccm watamjia juu na kumwita nyani au kenge
 
.......na kwa kazi nzuri aliyoifanya anne kilango malechela kuipiga chini ripoti ya zito, jana jk kamzawadia unaibu waziri

Na kwa kazi nzuri( magumashi, usanii na uchakachuzi) nae mzee wa viwango kala uchukuz na mwingune katolewa uchukuzi pamoja na jitihada zake zote na kutupwa IDARA YA AFRIKA MASHARIKI aka Kijiweni!
 
Hakuna kitu kizuri kama ukweli, tatizo wengi wenu hamuuoni.

Dada yangu FF hebu muogope mola wako bana, mbona unainyanyasa nafsi yako kiasi hichi. kama ulipewa bahashishi basi yashapita hayo Dada na hakuna atakae kudai kwani tumeiona kazi ulioifanya.. Mlimpenda Werema,Maswi na Muhongo ila Zito kawependa Zaidi.
 
Faizafoxy inaonekana hujaelewa hoja

Hoja nimeielewa vizuri sana, wewe inaonekana hujayaelewa majibu yangu, twende taratibu;

Unajuwa kuwa Zitto ripoti yake aliyoisoma bungeni alitaka waziri mkuu awachie ngazi? si ripoti pekee pamoja na maazimio ya kamati yake.
 
Wewe unashangilia kuipoteza Lulu ile? halafu unasema "unazeeka vibaya"?

Amma kwa hakika Tanzania tuna safari ndeeeeefu sana ya kwenda.
Mamlaka ya uteuzi mnayo chamani kwenu iwaje mnatupa lulu???!?!!
Shule ulienda kusomea ujjinga?????

Yaani wewe mtu kukuvumilia labda achomoe ubongo
 
Dada yangu FF hebu muogope mola wako bana, mbona unainyanyasa nafsi yako kiasi hichi. kama ulipewa bahashishi basi yashapita hayo Dada na hakuna atakae kudai kwani tumeiona kazi ulioifanya.. Mlimpenda Werema,Maswi na Muhongo ila Zito kawependa Zaidi.

Sikiliza kijana, hujauona ukweli bado. Nakuuliza, ripoti ya Zitto aliyoisoma bungeni alitaka nani aondoke? Waziri Mkuu. Na Mawaziri wengine wawili, ilitimia? au ilipigwa chini pale pale bungeni? umesahau?

Hapa sasa tunaongelea nyimbo nyingine, hayo ni maazimio ya bunge zima chini ya kamati iliyoundwa ghafla ya Anna Kilango baada ya ripoti na maazimio ya Zitto kupigwa chini kabla hayajatoka nje ya bunge.

Ulimsikia Zitto akiongea tena kuhusu hilo baada ya hapo? Fikiri.
.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mamlaka ya uteuzi mnayo chamani kwenu iwaje mnatupa lulu???!?!!
Shule ulienda kusomea ujjinga?????

Yaani wewe mtu kukuvumilia labda achomoe ubongo

Amewachia ngazi kwa kusakamwa. Huwezi mlazimisha. Lakini hana kosa.

Mesahau kuwa yule si mwanasiasa, yule alikuwa ni mtendaji katika mawaziri watendaji, hakugombea ubunge yule.

Hivi wewe uliwahi kufaulu shule hata somo moja ukapata 100%? katika maisha yako? ni swali tu.

Na Kile kisiki cha "system" alichowekewa pale wizarani Mengi sasa hivi, itabidi asubiri awamu iishe tu, hana ujanja.
 
Sikiliza kijana, hujauona ukweli badi. Nakuuliza, ripoti ya Zitto aliyoisoma bungeni alitaka nani aondoke? Waziri Mkuu. Na Mawaziri wengine wawili, ilitimia? au ilipigwa chini pale pale bungeni? umesahau?

Hapa sasa tunaongelea nyimbo nyingine, hayo ni maazimio ya bunge zima chini ya kamati iliyoundwa ghafla ya Anna Kilango baada ya ripoti na maazimio ya Zitto kupigwa chini kabla hayajatoka nje ya bunge.

Ulimsikia Zitto akiongea tena kuhusu hilo baada ya hapo? Fikiri.
.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

FaizaFoxy.... Utahangaika sana lakini mwisho wa siku wameachia ngazi
 
Hoja nimeielewa vizuri sana, wewe inaonekana hujayaelewa majibu yangu, twendde taratibu;

Unajuwa kuwa Zitto ripoti yake aliyoisoma bungeni alitaka waziri mkuu awachie ngazi? si ripoti pekee pamoja na maazimio ya kamati yake.

Walilenga mwezi hawakuufikia ila ukweli utabaki kuwa waliweza kurusha jiwe hilo juu sana angani!!!
 
Punguani ni wewe uliyesema hakuna atakayeachia ngazi, hamad Prof. Muhongo huyo kajipiga chini mwenyewe, na asingefanya hivyo angefukuzwa.

Naam, kwa ripoti ya Zitto? usisahau hilo.

Ripoti na maazimio ya Zitto yalipigwa chini pale pale bungeni kabla hayajatoka nje ya kuta za bungeni. Usisahau hilo.

Hapa sasa mnabwabwaja tu, snalysis yangu ilisema hiyo ripoti haina cha maana. Sasa jiulize iingekuwa na cha maana ingepigwa china na hata maazimio ya PAC yangepigwa chini?

Haya maazimio tunayoongelea yaliyofikishwa kwa Rais ni ya bunge zima kwa kamati iliyosimamiwa na Anna Kilango, si ya kamati ya Zitto.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Amewachia ngazi kwa kusakamwa. Huwezi mlazimisha. Lakini hana kosa.
Mesahau kuwa yule si mwanasiasa, yule alikuwa ni mtendaji katika mawaziri watendaji, hakugombea ubunge yule.
Hivi wewe uliwahi kufaulu shule hata somo moja ukapata 100%? katika maisha yako? ni swali tu.
Na Kile kisiki cha "system" alichowekewa pale wizarani Mengi sasa hivi, itabidi asubiri awamu iishe tu, hana ujanja.

You mean uteuzi wake unasitishwa na "kusakamwa" unataka kusema nini hapa rhetorically???!!!
So kesho akisakamwa mwingine pia tubadili, mbona anasakamwa PM hajaachia ngazi.. . . .hukumbuki sahihi na hekaheka zake, aliachia???!!!
Sasa mtendaji anaachiwaje sababu ya "kusakamwa" yaani mzazi ukiambiwa tu mtoto wako hivi na vile una mkana fasta???!!!!
Shule ya nini mie mfugaji, haihitaji elimu kubwa sana kujua huyu ng'ombe jike au dume na kujua huyu nikiuza napata kiasi kadhaa! !!! Kama waliosoma wanatimuliwa kwa "kusakamwa" kaeni na elimu yenu!!!
Eti kisiki kimewekwa as if mwanzo hakukuwa na info seepage!!!!

Hebu kuwa na mipaka na kujiamini kwako kulikopitiliza na kujitanabaisha kana kwamba unajua kila kitu!!!
Uwe na kiasi kwa shangwe zako za kisiasa! !!
 
FaizaFoxy.... Utahangaika sana lakini mwisho wa siku wameachia ngazi

Nope. Wameachia nani na nani? na kwa ripoti ya Zitto niliyoiongelea au maazimio yake? au maazimio ya bunge chini ya kamati ya ghafla ya Anna Kilango?
 
FaizaFoxy...wewe ni mtu wa pekee hapa Tanzania, sijawahi kuona mtu mwenye msimamo kama wewe, nachoshangaa hadi sasa kwanini mkuu wa kaya hajakupa hata uwaziri, ila sijui jina lako kamili, inawezekana ni waziri tayari mwenye ID fake manake ndani ya ccm hakuna kisichowezekana.
Kama mkuu wa kaya angekua anakaa miaka 20 madarakani basi kila mbunge wa ccm angekua ashaonja uwaziri na wengine wangekua washateuliwa kama Prof. Muongo Muhongo.
We Dada unajua kukomaa, namsihi mkuu wa kaya akupe japo kicheo kidogo kwasababu unatumia nguvu nyingi sana kumtetea yeye na kina prof muhongo.
 
You mean uteuzi wake unasitishwa na "kusakamwa" unataka kusema nini hapa rhetorically???!!!
So kesho akisakamwa mwingine pia tubadili, mbona anasakamwa PM hajaachia ngazi.. . . .hukumbuki sahihi na hekaheka zake, aliachia???!!!
Sasa mtendaji anaachiwaje sababu ya "kusakamwa" yaani mzazi ukiambiwa tu mtoto wako hivi na vile una mkana fasta???!!!!
Shule ya nini mie mfugaji, haihitaji elimu kubwa sana kujua huyu ng'ombe jike au dume na kujua huyu nikiuza napata kiasi kadhaa! !!! Kama waliosoma wanatimuliwa kwa "kusakamwa" kaeni na elimu yenu!!!
Eti kisiki kimewekwa as if mwanzo hakukuwa na info seepage!!!!

Hebu kuwa na mipaka na kujiamini kwako kulikopitiliza na kujitanabaisha kana kwamba unajua kila kitu!!!
Uwe na kiasi kwa shangwe zako za kisiasa! !!

Uteuzi wake haujasitishwa, amewachia baada ya kuona anasakamwa bila kosa, sasa amewawachia ukumbi ili ukweli udhihirike. Move aliyoifanya ni nzuri binafsi lakini ni pigo kwa wapenda maendeleo. Hilo usisahau.

Leo mnashangilia kuipoteza lulu? mnasikitisha sana. Huo ni zaidi ya ufinyu na upunguani wa mawazo.
 
Naomben mjadil hoja, mwachen Faizafoxy maana ninachoona ni either hana akili au anawachezea kwa makusudi ili msijadili mada husika
 
Huwezi kunielewa, bado capacity yako ni finyu sana.

Kwenda kule msukule weye....cjui kama mtaendelea kulipwa mana mabos wenu wametupwa nje kuleee....una mtindio wa ubongo weye...watz hatudanganyikii tena. Serikal8 ya kijbaz inawajibiwashwa na bado tunataka wapelekwe mahakaman na warudishe hiyo mihela.......mhongo alisema nchi itatikisika itikisike sasa tuone kama yeye jamabaz ni Yesu.
 
Back
Top Bottom