idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,423
Utatapika mpaka nyongo, na bado!!!!Fadhila walimfanyia nini zaidi? wanalipa fadhila akina Joisi, umesahau?
Utatapika mpaka nyongo, na bado!!!!Fadhila walimfanyia nini zaidi? wanalipa fadhila akina Joisi, umesahau?
Hapa hakuna ubishi hata chembe, hapa kuna ukweli tu.
Nnawasikitikia nyinyi msiouona ukweli. Funguweni vichwa ili macho yenu na masikio yenu yafunguke. Kwa muono wenu unavyoishia kwenye ncha ya pua zenu, laiti zingekuwa ndefu basi, sishangai kwanini hii nchi watu wake ni masikini licha ya ya nchi kuwa na utajiri wa kupindukia.
Kichwa hicho kinakwenda kuchukuwa pesa za bure bungeni mpaka muda wake ukiisha huku kikipiga pesa kwa kuzishauri nchi zenye akili, nyie mnachekelea.
Huwa unakunywa maji kiasi gani na unapumzika masaa mangapi kwa siku??
Utatapika mpaka nyongo, na bado!!!!
Na wewe mnafiki mkubwa, nakumbuka ulisema kuwa sula zima la escrow ni uongo halina ukweli wowote, na ulikuwa kipaumbile zaidi kumtetea Pr. Muhongo kuwa hakuna alichokifanya, pia nakumbuka uliponda sana report ya PAC chini ya Zitto Kabwe. Nakushangaa leo umekimbilia kwa PM. Naona hujielewi wewe mwana mamaNdiyo maana nikasema Haachii mtu ngazi kwa ripoti ya Zitto. Na ndivyo ilivyokuwa , ripoti yake ilitaka waziri mkuu, na waziri wa nishati na naibu waziri wote wawajibishwe. Ikapigwa chini hapo hapo bungeni na ikakaa kamati chini ya Anna Kilango na yakatolewa maazimio mapya amabyo yalikuwa tofauti kabisa na ripoti ya PAC.
Leo watu wananiuliza FF vipi? FF sijui nini?
Mimi nawauliza, hawajuwi kusoma? au ndiyo upunguani wenyewe?
Alichotuwekea JK badala ya Muhongo ni kisiki afadhali ya Muhongo X 100. Siyo taarifa mbaya Kwa mengi tu bali wadau wote wa nishati na madini. Wakati wa "asiyeweza kulipia gharama za umeme ajaribu kibatare" umefika!Amewachia ngazi kwa kusakamwa. Huwezi mlazimisha. Lakini hana kosa.
Mesahau kuwa yule si mwanasiasa, yule alikuwa ni mtendaji katika mawaziri watendaji, hakugombea ubunge yule.
Hivi wewe uliwahi kufaulu shule hata somo moja ukapata 100%? katika maisha yako? ni swali tu.
Na Kile kisiki cha "system" alichowekewa pale wizarani Mengi sasa hivi, itabidi asubiri awamu iishe tu, hana ujanja.
Fadhila walimfanyia nini zaidi? wanalipa fadhila akina Joisi, umesahau?
teh teh teh!Ushaiona nyongo ulipotajiwa Joisi analipa fadhila.
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Amewachia ngazi kwa kusakamwa. Huwezi mlazimisha. Lakini hana kosa.
Mesahau kuwa yule si mwanasiasa, yule alikuwa ni mtendaji katika mawaziri watendaji, hakugombea ubunge yule.
Hivi wewe uliwahi kufaulu shule hata somo moja ukapata 100%? katika maisha yako? ni swali tu.
Na Kile kisiki cha "system" alichowekewa pale wizarani Mengi sasa hivi, itabidi asubiri awamu iishe tu, hana ujanja.
Katiba inamruhusu Rais kuteua Wabunge kumi na katiba inasema Waziri lazima awe Mbunge. Katiba haisemi Waziri lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.
Katika wizara hapo Mengi kaingiaje?
............Kwenye nyumba ya starehe tingatinga limefikaje?..........