Kujiuzulu waziri mkuu

Kujiuzulu waziri mkuu

Kweli FaizaFoxy umekunywa maji ya bendera ya CCM !!!.
Ila hata kama umekunya maji ya bendera you real have to learn to know when to stop. if it was a court case, the judge will throw a book at your client Muhongo.
1362968768_judge.jpg
 
Kwenda kule msukule weye....cjui kama mtaendelea kulipwa mana mabos wenu wametupwa nje kuleee....una mtindio wa ubongo weye...watz hatudanganyikii tena. Serikal8 ya kijbaz inawajibiwashwa na bado tunataka wapelekwe mahakaman na warudishe hiyo mihela.......mhongo alisema nchi itatikisika itikisike sasa tuone kama yeye jamabaz ni Yesu.

Ndiyo mwenyewe unajiona umeandika cha maana kweli kweli. Unanchekesha.
 
ndiyo mwenyewe unajiona umeandika cha maana kweli kweli. Unanchekesha.

na mbado....watz wengi ambao hatujapata huo mgawo wa kifisadi na wala hatujauomba tumefurahishwa na hilo jambaz lenu mhongo kuachia ngazi.....hata akijisafisha hasafishiki....ati nguzo za umeme kijijini...kwani hizo nguzo za umeme aliweka kwa mshahara wake...hizo ni kodi zetu...aende zake kuleeee... Narudia watz wa leo hatudanganyikiii..
 
Sikiliza kijana, hujauona ukweli bado. Nakuuliza, ripoti ya Zitto aliyoisoma bungeni alitaka nani aondoke? Waziri Mkuu. Na Mawaziri wengine wawili, ilitimia? au ilipigwa chini pale pale bungeni? umesahau?

Hapa sasa tunaongelea nyimbo nyingine, hayo ni maazimio ya bunge zima chini ya kamati iliyoundwa ghafla ya Anna Kilango baada ya ripoti na maazimio ya Zitto kupigwa chini kabla hayajatoka nje ya bunge.

Ulimsikia Zitto akiongea tena kuhusu hilo baada ya hapo? Fikiri.
.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Taahira!!
 
na mbado....watz wengi ambao hatujapata huo mgawo wa kifisadi na wala hatujauomba tumefurahishwa na hilo jambaz lenu mhongo kuachia ngazi.....hata akijisafisha hasafishiki....ati nguzo za umeme kijijini...kwani hizo nguzo za umeme aliweka kwa mshahara wake...hizo ni kodi zetu...aende zake kuleeee... Narudia watz wa leo hatudanganyikiii..

Miaka 44 kabla ya ujio wa Kikwete walikuwa wapi wa kabla yake? Asilimia 10 tu ya Watanzania walikuwa na umeme, leo miaka 9 ya Kikwete tunaongelea karibu a asilimia 40 na kazi kubwa ilitimia kwa na Mhongo.

Wewe kodi ulipe wapi? Mwenyewe bado unalishwa na kuvishwa nyumbani kwa wazee kama si kwa Shemeji.
 
wanaJF,
wakati wa mjadala wa escrow niliwasikia baadhi ya wabunge bungeni wakimtetea pinda km PM kuwa hana kosa na hivyo hana sababu za kuwajibika kwa suala la ecrow! mimi ninavyojua wizara zote ziko chini yake na anapoharibu waziri yeyote kaharibu yeye pia. Kabla ya mtu wa nje ya serikali (mfn, Kafulila a.k.a Tumbili) kuona uchafu wa wizara alipaswa PM awe wa kwanza kuliona na kukemea ndan kwa ndani.
Je yeye km waziri mkuu a haribu wizara gani ili awajibike?
Kama mambo yangekuwa hivyo, wa kwanza kujiuzulu angekuwa JK, maana wote hao wako chini yake
 
Ndiyo maana nikasema Haachii mtu ngazi kwa ripoti ya Zitto. Na ndivyo ilivyokuwa , ripoti yake ilitaka waziri mkuu, na waziri wa nishati na naibu waziri wote wawajibishwe. Ikapigwa chini hapo hapo bungeni na ikakaa kamati chini ya Anna Kilango na yakatolewa maazimio mapya amabyo yalikuwa tofauti kabisa na ripoti ya PAC.

Leo watu wananiuliza FF vipi? FF sijui nini?

Mimi nawauliza, hawajuwi kusoma? au ndiyo upunguani wenyewe?

Unajenga hoja ya kipuuzi na ya kitoto sana, siamini kama unaweza kuandika upuuzi kama huu. Yaani unataka kutufanya wote humu ndani ni watoto?
 
Miaka 44 kabla ya ujio wa Kikwete walikuwa wapi wa kabla yake? Asilimia 10 tu ya Watanzania walikuwa na umeme, leo miaka 9 ya Kikwete tunaongelea karibu a asilimia 40 na kazi kubwa ilitimia kwa na Mhongo.

Wewe kodi ulipe wapi? Mwenyewe bado unalishwa na kuvishwa nyumbani kwa wazee kama si kwa Shemeji.

Tulia kijana.huwezi linganisha mabo hivyo the wold is changing kwa kipind8 hicho walionekana.macomredy wakubwa kuliko sasa hivi. Unachokifanya ni k7l8nganisha pesa ya zaman na sasa hivi nila kuangalia thamani ya hiyo pesa wakati huo na sasa ktk uhalisia.
 
Andika vizuri ueleweke, wacha kiherehere.
 
Unajenga hoja ya kipuuzi na ya kitoto sana, siamini kama unaweza kuandika upuuzi kama huu. Yaani unataka kutufanya wote humu ndani ni watoto?

Sema: Hoja imekuwa nzito na haijibiki, unaacha hoja unaanza kujishuku.

Umeuona ukweli ulivyo.
 
Ndani ya CCM vyeo hugawanywa kama pipi, ati zawadi na sio weledi. Bahati nzuri ndio zamu yenu ya mwisho kwa sababu October ndio CCM bye bye
 
Unafikiri Uwaziri ni keki? hiyo ni kwa mtu mwenye mawazo finyu tu.
kwa JK uwaziri ni keki, na ndiyo maana tangu awe rais amechagua mawaziri kulipa fadhila. mawaziri hao 'feki' ndiyo waloharibu, jiulize amebadili mawaziri mara ngapi? na kwa sababu gani?
 
Ndani ya CCM vyeo hugawanywa kama pipi, ati zawadi na sio weledi. Bahati nzuri ndio zamu yenu ya mwisho kwa sababu October ndio CCM bye bye

Kama vile vya akina Joisi bungeni?

Zingine hizo ni ndoto, upinza Tanzania mpaka sasa hakuna, kina Mbowe, Lipumba, Mbatia wote geresha tu.
 
kwa JK uwaziri ni keki, na ndiyo maana tangu awe rais amechagua mawaziri kulipa fadhila. mawaziri hao 'feki' ndiyo waloharibu, jiulize amebadili mawaziri mara ngapi? na kwa sababu gani?

Fadhila walimfanyia nini zaidi? wanalipa fadhila akina Joisi, umesahau?
 
Wallah kama hoja ipo basi mimi nitakua sioni, kwakweli hii ya Escrow imekutia aibu sana, ok

Sitegemei uone.

Hiyo aibu ya nini haswa? aibu mnaona nyinyi.

Unafikiri hoja ya escrow Kikwete asingetaka ingeongelewa bungeni? thubutu.

Wabunge tu hawakutaka ripoti ya Zitto na maazimio ya kamati yake na yakabadilishwa. Umesahau mara hii?
 
Kwa kweli sasa Faiza unachemka aiseee, eti Kikwete asingetaka ingeongelewa bungeni! Acha kujitoa ufahamu aise, ina maana Kafulila alitumwa Na kikwete? Ina maana bunge lilipoazimia kuundwa kwa Tume ya kibunge maagizo yalitoka kwa Jk? Ina maana mjadala ulipoanza bungeni kuhusu Escrow JK ndio aliruhusu? Acha upuuzi Faiza, JK huyu huyu anayeita pesa yetu kama pesa ya madafu? Huku nikuchanganyikiwa kwa hali ya juu sana!

Kwa maana nyingine ya kumhusisha Kikwete hapa unataka kituaminisha kuwa huwa Kikwete anaingilia uhuru wa bunge? Hii pia ni ujinga mtupu. Hebu kuwa na busara kidogo.

Hivi yalibadilishwa au yaliboreshwa? Usibadilishe hoja ya msingi as if ni.wewe tu inayeyajua mambo haya na sie wengine hatujui chochote.
 
Ndiyo maana huwa nnawauliza, hizo shule mlienda kusomea ujinga? mimi nimeweka question mark wewe umeweka exclamation mark, nadhani hata zinavyotumika na kuweza kubadili sentensi nzima huelewi. Soma tena:

Unafikiri hoja ya escrow Kikwete asingetaka ingeongelewa bungeni?

Pole sana.
 
Faiza nimeweka alama ya mshangao kukushangaa wewe, nadhani wewe ndio una tatizo maana ingekuwa nimekunukuu ndio ningeweka alama ya kuuliza, nadhani hujui hata kujenga hoja matokeo yake unashika hiki mara kile, umeshikwa pabaya leo.

Shule nilizoma ni za serikali iliyoko chini ya ccm kwahio kosa unaloliona ni matokeo ya shule zenu
 
Back
Top Bottom