Kujiunga Telegram lazima ulipie siku hizi?

Kujiunga Telegram lazima ulipie siku hizi?

Mlume Ndago

Member
Joined
Jul 28, 2025
Posts
41
Reaction score
53
Habari wapendwa wa jamiiforums,

Naomba kuwauliza kwa mwenye kufahamu kuhusu application ya Telegram.

Zamani nilikuwa natumia hii Application bila shida yoyote lakini nikaja kuifuta.

Sasa kwa siku hizi za usoni kila nikijaribu kujiunga inaniambia nilipie elfu tatu (Tsh 3,000)

Sijajua ni utaratibu wao mpya na ni kwa kila mtu au kwangu tu?

Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom