Wakuu, naombeni msaada wenu. Mimi ni mtumiaji wa AirTel, siku za nyuma nilikuwa nimejiunga kwenye huduma mojawapo ya jirushe, nilikuwa nikituma J500 kwenda 15558 napata dakika 40 kama sikosei. Siku hizi kila ninapoweka amount>500 wananiunganisha automatically wanakata hiyo 500. Naombeni msaadawenu ili nijiondoe kwenye huduma hii coz sikumbuki hatanilijiungaje1