mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 923
- 1,586
kivipi?ukijiamini utakuwa umemaliza.
hahah mbio zinaokoa, siyo?Usipojiandaa kua john cena unaweza kua usain bolt
nielekeze ratiba yako ikoje na unazingatia vitu gani wakati wa kutafuta pumzi au unakimbia tu ndukiii? nisaidieNipo najaifanyia mazoezi ya kukimbia na kutafuta pumzi naamin IPO siku itakuwa msaada kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
iko wapi? nakaa magomeniNjoo tujifunze wote karate na kungfu hapa washng tempte
daah safiii, nimeelewa.mimi nilikua na laki tatu mfuko wa nyuma, alafu mfuko wa mbele nilikua na sh.200 tu.
Nikapita chocho flani kajamaa kamoja kakajifanya kanakojoa nilivyompita tu akatokea mwingine kwa mbele machale yakanicheza,
Yule wa mbele akaniambia "braza tupe hata pesa tukavute mafegi" (nadhani alizani nitakataa kumpa ili wapate sababu ya kunikaba)
Kwa haraka sana nikaingiza mkono mfukoni nikatoa sh.200 nikampa akaipokea akabaki ameduwaa; Yule mwenzake akaanza kupiga kelele kumlaumu kwa nini ameniacha nipite ila jamaa hakumjibu chochote na mimi nikawa tayari nimeshamaliza kuvuka hicho kichochoro salama salmini.
Mbinu kubwa ni kujiamini tu.
mfano mimi niliwahi kukutana na vibaka kama saba hivi wakanisimamisha ilikuwa kama saa saba usiku. Nilisimama haraka sana na kuanza kuwasilikiliza wanavyopiga mikwara mbuzi mwisho nikauliza "mambo haya mnayaweza au ndo mnajifunza isije kufika mahali mkakataana", wakati huo nilikuwa natembeza macho pande zote kumtafuta mbabe zaidi ili element of supply ianzie kwake. wakaishia kucheka tu na kusema haina noma bro.kivipi?
Ipo wapi hiyo mkuu?Njoo tujifunze wote karate na kungfu hapa washng tempte
daah, asante kwa mbinu kaka, barikiwa!!!mfano mimi niliwahi kukutana na vibaka kama saba hivi wakanisimamisha ilikuwa kama saa saba usiku. Nilisimama haraka sana na kuanza kuwasilikiliza wanavyopiga mikwara mbuzi mwisho nikauliza "mambo haya mnayaweza au ndo mnajifunza isije kufika mahali mkakataana", wakati huo nilikuwa natembeza macho pande zote kumtafuta mbabe zaidi ili element of supply ianzie kwake. wakaishia kucheka tu na kusema haina noma bro.
ung'eng'e, siyo!!!niliwahi kukutana nao kuna siku natoka kwa sendoff niliwaongelesha lugha ya malkia kwa ukali kile wakaniacha mmoja akaniambia anyway its okay.....nikachukua boda boda nikasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
ng'ora ndiyo nini?nunua mguu ws kuku tu, mi mwenyewe kuna wahuni kama kumi walinitaitisha kitaa usiku mkali wakanichukulia ng'ora na mpunga kiasi, nikasema ngoja nijipange lazima ninunue pipe, nkishindwa nitanunua ata zile pipe baruti napiga hewani niwatawanye manyokow zao
Sent using Jamii Forums mobile app